Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,493
Duuh kumbe hili mbugila ni kingoni? Kuna mwalimu wetu mmoja mchaga alikuwa anapenda kusema "ninyi ni mambugila" kama akiuliza swali halafu darasa zima mkashindwa kujibu basi nikawa nadhani ni neno la kiswahili ila linatumika sana uchagani!"veve wa mbugila"
Jaman mwenyeji had nimecheka khaaah.
Kwan lakini? Uwiiiiiih




Nshaisave kwa matumizi ya baadae.

