Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha mzee wangu ukapiga salute hao vijana watakuua usikimbizane nao siku ukirudi bongo plz check me nikupeleke kwenu tutembee na ule mkeka
Sirudii tena aisee. Hata sijui nilipatwa na nini yaani. Dogo kanyoa panki mwembamba kama Kokastiki mlegevu legevu jomonii tyuuh lakini akiikanyaga hii kitu weh!

Nitakutafuta aisee. RR kutoka Dar mpaka Mza mbona itapendeza mno? Thanks for the offer chief
 
9.8ms squared na Fortnox mnakula maisha sana nyie madogo. Jana huyu mnyama niligongana naye mahali mpaka nikakubali tu yaishe halafu dereva mwenyewe mdogo tu yaani. Ila ilibidi afungue dirisha tukasalimiana angalau tulipofika mahali fulani. Heshima sana kwa RR
View attachment 2165535
😀😀😀 Mkuu bado hatujaingia kwenye kifungo cha ndoa.. hizi dk lazima tuzitumie inavyotakiwa haswaaa.. RR unyama sanaaa.. ni gari hasaaa navuta sana pumzi huenda nikaja kujibariki ila napenda SVR kwa ajiri ya kutimua mbioo maana ndio raha yangu gari isipo fika 240 naona kama nacheza cheza
 
Hongera mkuu umeandika kwa marefu na mapana yake, umegusa kila kona, kikubwa uzima tu lakini mapenzi ya huku ni pasua kichwa kweli, unaweza kupata mtu wako huku ukajivunia nae kumbe wadau wanakuchora tu walisha pita nae kitambo.
Ngoja tuendelee kuona , miji mikubwa hii!
Sandakarawe....

Mwenye kupata...

Mwenye kukosa....

Mitandao hii we acha tu...Akili za kuambiwa always changanya na zako
 
Sirudii tena aisee. Hata sijui nilipatwa na nini yaani. Dogo kanyoa panki mwembamba kama Kokastiki mlegevu legevu jomonii tyuuh lakini akiikanyaga hii kitu weh!

Nitakutafuta aisee. RR kutoka Dar mpaka Mza mbona itapendeza mno? Thanks for the offer chief
Hahahaaa eti kanyoa kiduku mzee.utakua ulipanic Welcome mzee wangu Tena utaisukuma wew mashine utoe hamu zote unaipiga fimbo kweri kweri in magu voice
 
Mkuu bado hatujaingia kwenye kifungo cha ndoa.. hizi dk lazima tuzitumie inavyotakiwa haswaaa.. RR unyama sanaaa.. ni gari hasaaa navuta sana pumzi huenda nikaja kujibariki ila napenda SVR kwa ajiri ya kutimua mbioo maana ndio raha yangu gari isipo fika 240 naona kama nacheza cheza
Ila kuweni waangalifu jamani. Taifa na wapendwa wenu bado wanawahitaji sana...huyu dogo wa jana mpaka niliogopa yaani. I will never do that again
 
Ila kuweni waangalifu jamani. Taifa na wapendwa wenu bado wanawahitaji sana...huyu dogo wa jana mpaka niliogopa yaani. I will never do that again
😀😀😀 Ligi zina raha yake, huwa najikuta nikiona gari inakimbia lazima nikiwashe.. nakumbuka ligi yangu ya mwisho kulikuwa na TX na VX. R mbona walijuta kunifahamu 😀😀😀😀.. sema nilipata hasara ya Tyre na mafuta kuisha haraka.. chuma za mzungu labda collision ila sio kupinduka au kuacha njia
 
Hongera mkuu umeandika kwa marefu na mapana yake, umegusa kila kona, kikubwa uzima tu lakini mapenzi ya huku ni pasua kichwa kweli, unaweza kupata mtu wako huku ukajivunia nae kumbe wadau wanakuchora tu walisha pita nae kitambo.
Ngoja tuendelee kuona , miji mikubwa hii!
kikubwa ni kukojozana, haina makombo wala haiozi. Uwiiiiih
 
Back
Top Bottom