Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Ndo hivyo....🤷🏾♀️😏😁
Ndo hivyo....🤷🏾♀️😏😁
Aisee, huu uchambuzi sio poa!!Huu ni moja ya uzi ambao sitokuja shangaa miaka 10 mbele ukawa na shuhuda nyingi sana watu walijuana kupitia uzi huu na wakawa na mahusiano.
ni uzi flani upo kimasihara na usipokua makini yale ya kina rikiboy huwa applied thru huu uzi,ni ka Uzi flani kenye hadhi ya kuitwa KAMBA na sio UZI.
Kauzi flani ukitaka jua tabia ya umpendae unaingia na kusaka comment zake,Balaa ni kwamba akiwa ni type ya wale wapenzi wasomaji,hutoambulia kitu,yote kwa yote napenda sana hii thread japo kuna watu siwaoni kbisa hadi unatamani umtag umwambie si Uingie nawewe uzi flani,ila ndio hivyo uzi umefika page ya buku 8 ila kuna raia hazijawahi tia hata Nukta..
Mkue makini na Relationship zinazoanzia huu uzi, 98% zitakuja Fail staki skia thread za malalamiko Tabia za watu wa thread hii ni real ukiona mtu anasema anapga vyombo ujue n mpga vyombo kweli,jichanganye ufkirie ni padri au ostadhi.
Ukiona mtu anasema anapenda bangi ujue n real him,ukijichanganya nisije sikia lawama kwa wavuta bangi deal na mvuta bangi wako huko huko mlipokutania.
Nilichopenda kikubwa kwa uzi huu ni watu they are real,akikupostia vidole ujue n vyake kweli,akipost viguu ujue n viguu vyake kweli Japo wapo wanaotupanga ila wengi wa wachangiaji huu uzi wako real sio waongo waongo, Ukiona kamtu kaongo kanapost vtu vya uongo uongo ujue n kageni kwenye huu uzi.
Ila kinachoniboa ni wale wapost picha halafu wanafuta ukigusa unakutana na "ooops" yani ktu ishaondolewa mnaniboaaaaa,mkipost pcha msubiri nione ndio muwe mnafuta,kuna watu kila wakipost nikijaga nakuta washaondoa,kwan hizo pic mnazopost zina deadline ndugu zangu? kuna wat natamani nione hata vikucha vyake vinaonekanaje huko kwingine ntajazia mwenyewe.
Oya mwanangu Mshana Jr kama ni tuzo ya Uzi BORA nadhani JF hamna na hautokaa utokee uzi BORA kama huu sijui uliwazaga nini? sazingine mi ndio mana napenda uchawi na ushirikina,ukute wachawi wako walikuotesha ufanye hii eeeeh (sema mimi sipendi ushrikina mshana) ila kwa huu uzi uligusa engo yenyewe.
Uzi bora wa wakati wote,Uzi wakuutoa huuu najaribu kufikiria sijui labda utatokea ila huu uzi nauona mpya kila siku hauchakai kila siku unazidi kuwa mpya maana kuna new comer zinaingia zikitupia vitu unajikuta unatoka kwenye reli kabisa,unaanza kukafatlia kenyewe tu.
Mods wana enjoy sana nina uhakika Mods w JF wamejaza gallery zao na pic toka kwenye huu uzi,mana hata wao wanatamani sana kutuona sisi waandishi ila ndio hawna access Ashukuriwe mshana mtoa access ya watu kuona vilivyo jificha.
eti nani kamuona mdada anajiita Sakayo nishtulieni mkimuona,mwingineee Kasie mwambieni arudie tena huyu bibi mjukuu wake nataka kumuona, eti nauliza FaizaFoxy kashawahi jiselfisha humu? kama kashawahi naombeni location (page no and comment no) kuna watu natamani sana kuwaona, Kuna kajamaa kanajiita GENTAMYCINE hivi ashawahi jiselfisha humu au basi huyu n mwananchi mwenye hasira zake.
Nani bado sijamtaja? Shunie changamka changamka, wengine nilio tamani wajua wamebadili ID majina, hamna kitu inakera na Baadhi nishawajua majina waliyotumia ila ndio washantoka tena,Mtu real habadli ID kama chakula, sifa ya mtu wa kweli husimama na ID ya jina 1 mliobadli majina mshanitoka ila ndio mshaniboa, nisije msahau huyu furushi Espy Eroni nakapenda haka kadada sema sijawahi kafumania humu kila niki click image zake holaaaa..
Numbisa mama la mama,Jitoe ufahamu uni tag basi ukijiselfisha,imetosha kwa LEO kongole kwako mshana.
Aisee, mambo magumu haya!Kuna wawili hapo imebidi tu niscreenshot hii comment niwatumie whatsapp vinginevyo hizo tags zako wasingeziona zingeenda bure tu. Na nimewatumia maana hata mimi mwenyewe siyo siri nimemiss kuwaona humu.
Kiukweli mwenyewe huu uzi umenifanya nifahamiane na baadhi ya watu ambao nilikuwa nawakubali sana humu na nilikuwa sijui hata kama watakuja kukubali kufahamiana na mimi. But leo hii tumefahamiana and we are friends.
Sijawahi fahamiana na mkaka huku then akaja kuwa mpenzi wangu hilo nilishakataa na halikuwa lengo langu since the very first day najiunga jf na nashukuru Mungu nimefanikiwa hilo. So hakuna Mkaka ambaye nimewahi date naye humu.
Wengi niliofahamiana nao ni wanawake and some of them are like sisters to me now yaani tumekuwa kama ndugu. Kwa wanaume ambao nimefahamiana nao walionitongoza urafiki ulikufa hapo hapo kwa sababu sikutaka mahusiano.
Mie nilitaka urafiki tu na kama unavyojua wanaume huwa wakitongoza mwanamke akawakataa wanapotezea. Wenzetu huwa hawataki habari za kuwa friendzoned so automatically mawasiliano yanakufa maana hamna cha kuongea tena.
Na mimi ndicho huwa ninachotaka kwamba kama mwanaume ukiona hauwezi kuwa rafiki kwangu basi njia nyeupe kiroho safi tu. Maana sitaki mahusiano na vile vile huwa sibembelezagi mtu kwangu ni either uwe rafiki au salam zao tu na siyo kwa ubaya.
Ofcourse wapo wanaume wachache ambao Hawana tatizo kuwa friendzoned maana wanajua siyo sifa kukulana na kila mwanamke unayefahamiana naye na wanaume wa hivyo mimi huwa nawasalute ile mbaya yani. All in all this is JF mkuu.
Humu kuna walokole sana aisee!Umetuahidi ya kwamba wawili watatu, kwa jina lako wakija,
Utawabariki, kwa hivi leo twapiga magoti nyumbani pako.
Yesu uje kwetu utubariki;
Yesu uje kwetu uwe karibu.
Hakuna usafiri wa hovyo kama huuView attachment 2165215
Waswahili wanasema Kaa mbele uwahi kufika, ngoja nijaribu leo kama nitawahi
Happy Saturday to you all![]()



Nataka siku nije hapo! Location please!!Karibuni mnadani KibambaView attachment 2161714
Hii picha naingalia bado sijaielewa!
Kibamba Chama kesho j2 na j5 karibu sana mkuuNataka siku nije hapo! Location please!!
Kweli kuwa mwanaume kazi sana! Unapenda kitu, unajiongelesha weee...then unalimwa blockNimekuelewa tangu mwanzoni; but I was trying to say kuwa kuna exceptions. Kuna mtu anakutreat tu nicely, unaweza ukahisi na kutamani kabisa mtongozo wake; ila usiusikie kamwe; au akasubiri hadi siku mmeonana ndiyo akakufungukia. Na kuna wale wajinga wachache ambao approaches zao tu zinakufanya uwalime block.
Point yangu ilikuwa kuna wakati itakubidi usubiri mtu atamke ndiyo umwambie you are not interested, au kama itatokea kwenye stories mtaongelea mahusiano then unaweza kumpa hint au kwa wenye zile approaches zao za kidwanzi; wale unawachana tu hapohapo


Tunatumia mipira ya magari au, ili nyoka atoke pangoni mwenye 😀😀9.8ms squared tunaanzia wapi kuchoma vichakaView attachment 2165137
Chama ni kubwa kiongozi!Kibamba Chama kesho j2 na j5 karibu sana mkuu
Approach ina matter brod darling.Kweli kuwa mwanaume kazi sana! Unapenda kitu, unajiongelesha weee...then unalimwa block![]()
Rafiki mama tu.. nyie wengine inapotokea nafasi ni mwendo wa 🔥🔥🔥Haha hivi kwani urafiki wa kawaida tu huwa hamuuwezi? Yaani mngejua vile wengine tunawaheshimu hata mkiwa marafiki zetu tu wala msingekuwa mnajisumbua kutupiga sound wanawake wengi ili mprove uanaume wenu kama wenyewe mnavyosemaga!
Ya kazi gani???🙄🙄Goodluck,, you need it![]()
Nimekomaaa, sijaribu tena

