Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] karibu sana.. uzuri bosi ledi hana makuu [emoji23][emoji12][emoji12]
Thanks a lot!
Tatizo nikiwa spare tyre najua lazima tu nitapelekwa jela.

Kuna movie hapa nilikua naicheki inaitwa deep water hebu itafute, yupo Ben Afleck, jamaa alikua ananyatia michepuko ya mkewe anaua kimya kimya, achana chezea mapenzi.. Yanauma ati
 
Dah kapteni unafeli wapi?
Huyu mtoto ukimbeba unamnyakua unapanda naye huko juu mawinguni mnapiga tu trip za angani
 
Back
Top Bottom