Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwanini uondoke??
Kumbe hadi cheating ina viwango??

Kufunzwa kupo pale pale tu bila kujali mimi nataka ama sitaki.
Dunia haiwezi acha kumfunza.
Ooooh so u wanna wage war against mtu anayecheat?? Hlo movie sterling na villain wote wanadanja mwishoni

Yeeeh cheating ina viwango according to most ladies

Sio always someone will pay what he owe,, 7/10 they get away with it
 
Snap it.Show it😁😁😁
AUqpaq.jpg
 
Tinsley,, pulling together hzo salamu it will take me, i don't know,, maybe forever,ukitegemea mimi nianze maongezi, tunaweza tukakaa seat moja from tz to southafrica kwenye bus,, na tusiongee hadi tunafika,, ukiachana na zile fungua dirisha au naomba kupita,,
Nna phobia ya kuongea na jinsia yenu public
hahahaha
 
Ooooh so u wanna wage war against mtu anayecheat?? Hlo movie sterling na villain wote wanadanja mwishoni

Yeeeh cheating ina viwango according to most ladies

Sio always someone will pay what he owe,, 7/10 they get away with it
Muda wa kupigana vita sina
Asiyetaka kufunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu.
 
Back
Top Bottom