Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,817
- 233,249
KabisaNa anashindwa!!!shetani
Anajaribu kuleta maafa lakini anakuta watu wa Mungu mpo ngangari

KabisaNa anashindwa!!!shetani

Ngumu sanaaaaUngenishtua basi
Bus la Bunju au Nyuki ?
Achunwe tena ikiwezekana hadi ngozi ya mwiliLet's say kwa mfano tu yaan hypothetically ni mumeo ndo anafanya hayo utaendelea kusema "achunwe tuu"
Wala hawi Marioo hata; ila mchepuko upo vizuri zaidi yake so unamtunuku na na familia inaenda chooni kwa amani kwa sababu ya mchepukoHawa sijui nawaweka kundi Gani 🤔
Kundi la wale waume Mario
Devided attention effect yake haitakuwa kwa mtu mwengine zaidi yako wewe kidogoooo and watoto wako sanaaa no offenceAchunwe hadi akili imrudie
Imeeleweka mkuuLecture limeeleweka.. au niendeleee kushushaaa summary 😊😊
Naomba nikupe account yangu ya mt4 😊😊😊
And nani atakayeuguza vidonda kama sio wewe na watoto wenu,, no offence thoAchunwe tena ikiwezekana hadi ngozi ya mwili
Labla nisijue kama alichepuka nikijua atajiuguza mwenyeweAnd nani atakayeuguza vidonda kama sio wewe na watoto wenu,, no offence tho
Lakini somo atakuwa ashalipata na anavuna alichopanda.Devided attention effect yake haitakuwa kwa mtu mwengine zaidi yako wewe kidogoooo and watoto wako sanaaa no offence
Yaani huyo mchepuko ni mke wa mtu,na amekosa pa kuzipeleka hela ameamua azipeleke kwa mume wa mtu!Wala hawi Marioo hata; ila mchepuko upo vizuri zaidi yake so unamtunuku na na familia inaenda chooni kwa amani kwa sababu ya mchepuko

Haha kisa ?Ngumu sanaaaa
.Eti eeh?mechi za kijamaaa muhimu
Huwezi jua anapewa nini kwenye kuta nne, haya maisha yana mengi ya kustaajabu!!Yaani huyo mchepuko ni mke wa mtu,na amekosa pa kuzipeleka hela ameamua azipeleke kwa mume wa mtu!![]()
Somo kalipata ndio tena kwa kiwango cha A+ but jua hayo matokeo sio yake tu,, ni ya familia nzima,,, maybe kama hamna watoto that's fine,, it's better ukaomba talaka kuliko kutangaza vitaLakini somo atakuwa ashalipata na anavuna alichopanda.
Sasa kwanini aliolewa??Huwezi jua anapewa nini kwenye kuta nne, haya maisha yana mengi ya kustaajabu!!
Msalato brooh!Uko pande zipi, nije kukupa kampani
Then what? Utaenda kwa mwingine it's the same case,,,Labla nisijue kama alichepuka nikijua atajiuguza mwenyewe