Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Mtu unakuta ameoa vizuri tu bila kushururishwa na mtu😂😂😂
Ila yupo kutangatanga😰
Mtu unakuta ameoa vizuri tu bila kushururishwa na mtu😂😂😂
Aliyeko Dodoma anifahamishe Lodge nzuri ya bei rahisi!![]()

Niko Dom but nipo kama mgeni ila ukishuka nenda maeneo Yale ya uwanja wa Jamhuri naona kuna loji zimejipanga paleJisikie upo nyumbani kabisaKweli kabisa nmeona,
watu mko happy balaa humu.
Nna siku 2 tu ila nmeinjoy Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Na anashindwa!!!shetaniTunaishi kama ndugu
Mara chache chache sana shetani wa kimbunga huwa anapita.
Nimezunguka kule, zimejaa!Niko Dom but nipo kama mgeni ila ukishuka nenda maeneo Yale ya uwanja wa Jamhuri naona kuna loji zimejipanga pale
Stand by your manMtu unakuta ameoa vizuri tu bila kushururishwa na mtu
Ila yupo kutangatanga![]()


Kwa kweli na wachunwe tuMtu unakuta ameoa vizuri tu bila kushururishwa na mtu
Ila yupo kutangatanga😰
Kaka jilie vyako kwani kwenye kutafuta tulikua wote: sema we jamaa unajua Sana kuchagua watoto wazuri








daahmechi za kijamaaa muhimuMtu unakuta ameoa vizuri tu bila kushururishwa na mtu
Ila yupo kutangatanga😰
Ntakuja PM hapa napika kwanzaNdio my
Uko pande zipi, nije kukupa kampaniAje na Dom aseehhh!!!Nile kuku wa Tango
Let's say kwa mfano tu yaan hypothetically ni mumeo ndo anafanya hayo utaendelea kusema "achunwe tuu"Kwa kweli na wachunwe tu
Muombe Mungu juu ya hilo then kila kitu kitaenda sawa tu . Kama upo nao close hivyo basi ni hatua nzuri ya malezi .Naogopa Mimi hua naongea nao friendly bado hajawa mkubwa ila siku akiwa mkubwa naona ntalia MimiI swear maana anaingia12 but ana mwili mkubwa na dalili za kiutu uzima zimeanza.
Yaani naomba Mungu anipe ujasiri Mimi ni bingwa wa ushauri nasaha kwa watoto wa madada zangu ,Dada plus friends ila kwangu mwenyewe sijui itakuaje
Lecture limeeleweka.. au niendeleee kushushaaa summary 😊😊Asante studio
Ungenishtua basiMy memory is a bit fuzzy nadhan it's a week or two
Achunwe hadi akili imrudieLet's say kwa mfano tu yaan hypothetically ni mumeo ndo anafanya hayo utaendelea kusema "achunwe tuu"
HakikaKwa kweli na wachunwe tu
Yote hayo nitafanyaStand by your man
Give him two arms to cling to
And something warm to come to
When nights are cold and lonely
Stand by your man
And show the world you love him
Keep giving all the love you can
Stand by your man
![]()