Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,675
- 39,092
Sijafunga mpendwa wangu😍Poa haina majotroo!!!umefunga PM?!!!women support women!!!
Sijafunga mpendwa wangu😍Poa haina majotroo!!!umefunga PM?!!!women support women!!!
Kaifuta kabla sijaisoma jamaniii😩😟aione nuzulati!ahsante studioo!!
Nuzulati kuna haja nije PM nkupe tuition tena?!!
Wachanga ndo wanapagawisha vibaya ... Yupo tu anakuchekea mwenyewe .Yaani kumbe tuko wengi hasa kiwe kichanga ngozi yake ilivyo laini kukishika shika vikono![]()
Thanks Darling!! Ila naogopa Mimi!!wanavokua kama huyu first born simsifii ila wee!I wish nimrudishe tumboni!Hongera jamani
Watoto ni baraka
Asante studioSasa mtoto wakike 👹👹 ikizama wew bana misuli ya 👹👹 yani hili zoezi ni simple sana ni wanaume wachache sana wanafaidi kwa wake zao. Sasa Fanya zoezi hili na ww ili mumeo afaidi
Watoto ni baraka aisee wanafurahisha sana hasa wakiwa kwenye harakati zao mara warushe miguu kama wanaendesha baiskeliWachanga ndo wanapagawisha vibaya ... Yupo tu anakuchekea mwenyewe .
Ooh usiogope mwamini Mungu , wewe kama mama una nafasi kubwa sana kwao ..Thanks Darling!! Ila naogopa Mimi!!wanavokua kama huyu first born simsifii ila wee!I wish nimrudishe tumboni!
Wanaume wabaya wataniharibia binti zangu
Pole sana kaka. Uwe na safari njema.. mie still nipp dar es salaam9.8ms squared mkuu nimepata kisafari Cha dharula naenda moro
Hi bro. Ingependeza sana kama ungekaziba sura japo kidogo kamalaika kako haka. Najua hakana usemi lakini siamini kama kangependa kawe mitandaoni humu (hasa site ya aina hii) waziwazi namna hii kwa sababu you just never know. Na kenyewe kana haki zake ati!I'm in love with my last born View attachment 2163103



Nikuambie kitu..mlee tu vizuri mwanao mpe mahitaji yake yote ya msingi mlee katika maadili mema hii inatosha...nina imani mtoto akikuzwa vema itamsaidia pia hata kuepuka mambo yatakayopelekea watu kupigwa chuma hahaaAsante mamiloo saivi ninaomba kibali cha bastola mbili kulia na kushoto
Asante mkuuNikuambie kitu..mlee tu vizuri mwanao mpe mahitaji yake yote ya msingi mlee katika maadili mema hii inatosha...nina imani mtoto akikuzwa vema itamsaidia pia hata kuepuka mambo yatakayopelekea watu kupigwa chuma hahaa
Hi bro. Ingependeza sana kama ungekaziba sura japo kidogo kamalaika kako haka. Najua hakana usemi lakini siamini kama kangependa kawe mitandaoni humu (hasa site ya aina hii) waziwazi namna hii kwa sababu you just never know. Na kenyewe kana haki zake ati!
Samahani lakini kama nimekosea bro![]()


Kweli kabisa dearWatoto ni baraka aisee wanafurahisha sana hasa wakiwa kwenye harakati zao mara warushe miguu kama wanaendesha baiskeli
Mnyama huyo. Hii kitu ikikaa barabarani ndo imekaa yaani hata ufanyeje...dah!
Gx hio.
Done sisKweli kabisa dear