Kweli kabisa nmeona,Tunaishi kama ndugu
Mara chache chache sana shetani wa kimbunga huwa anapita.
Ha ha ha....Ndio ndio [emoji1787] hata mwenzao DeepPond anajua
Nimeacha kufanya kazi nasubiri mpendwaπ₯°Kwakua wewe acha nitupie ππ
Kuwajibika Ni muhimu reymage
Pitia hapa wakuchomee paja la nyuma ππNyama πππ
Khaaa we mtoto una mambo sanaWee yule hana mambo mengi, kikubwa akojoe tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23]
Usiulize nimejuaje, eti Jack Palladino mie sipo lakini. Hahahah
ππππππNimeacha kufanya kazi nasubiri mpendwaπ₯°
Heee[emoji848]Asante umenisaidia kumjibu[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Yaani mtu akuweke mchepuko,halafu mtumie hela zako!utakuwa wendawazimu huu..
Ukiwa mchepuko siyo hela ya vocha tu!; inatakiwa hata sauti tu unayoongea neno moja ilipiwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kidevu cha Mwanaume πππππππView attachment 2162946
Kweli kabisaKuwajibika Ni muhimu reymage
Huduma nnayoipata anastahili hata zaidi ya iyo, ananiridhisha kwelikweli[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Doh[emoji17]Tena hawa wanaume wanaoendekeza michepuko ni wa kukamuliwa kila kitu,hadi akili ziwarudi wakatulie kwenye ndoa zao maana wanajitoa ufahamu.
Hakika[emoji4][emoji106]Kweli kabisa
Mama J anastahili [emoji1547]
Mhhh huyu ni wewe kweli?Sasa mtu anataka uchepuke naye for free??
Inatakiwa ukitoka hapo unakuwa ushamvuna hela za kutosha kama biko wanavyovuna buku za maelfu ya watu.
Hii itasaidia baba zetu,waume zetu kupata akili.
Mkali wa hizi kazi
πππTena hawa wanaume wanaoendekeza michepuko ni wa kukamuliwa kila kitu,hadi akili ziwarudi wakatulie kwenye ndoa zao maana wanajitoa ufahamu.
Mwambie toyo aniletee πPitia hapa wakuchomee paja la nyuma ππ
Ndevu kama steel wire zina kazi nzuri sana hizi πππKidevu cha Mwanaume π
Usijali Mkuu, ombi lako ni amri kwangu π€ͺMwambie toyo aniletee π
hivi hamjui adhaa wanazo zipata baada ya kutuchuna πππ.. tunawaharibu sanaaaa.. Mungu atusamehe.. kule hela mtazila ila uharibifu tunao waachia ni mkubwa kuliko pesa...Tena hawa wanaume wanaoendekeza michepuko ni wa kukamuliwa kila kitu,hadi akili ziwarudi wakatulie kwenye ndoa zao maana wanajitoa ufahamu.