Selfika na JF: Snap it. Show it

Pole sana mkuu, ila jitahidi kuvumilia hiyo hali itakuja tu kuisha na utamuenjoy mkeo as long as hachepuki hilo ndio la muhimu.

Usichoke kumvumilia na kumpenda, huyo ndio atakufaa kwa nyakati zote, huku nje majanga tu utapendwa ukiwa na hela basi
Asante mno mno, umenipa moyo sana, hilo litawezekana kwani hakuna kisicho wezekana chini ya jua.
Ila uanaume wangu nao unasumbua!
 
Asante mno mno, umenipa moyo sana, hilo litawezekana kwani hakuna kisicho wezekana chini ya jua.
Ila uanaume wangu nao unasumbua!
Litawezekana kabisa, it's just a matter of time.

Hapo kwenye uanaume ukishindwa sana ukajikuta unachepuka basi chepuka kistaarabu mwenzio asijue usije haribu ndoa yako uliyoijenga kwa miaka yote hiyo sababu ya watu wa kupita.
 
Umeongea vizuri

Jioni nakupitishia gauni la kwa Mwakiswelelo
 
Sasa mtu anataka uchepuke naye for free??
Inatakiwa ukitoka hapo unakuwa ushamvuna hela za kutosha kama biko wanavyovuna buku za maelfu ya watu.

Hii itasaidia baba zetu,waume zetu kupata akili.
😂😂😂😂

Ila pia sio wanawake wote wanachepuka kwa ajili ya hela, kuna wengine wanahitaji huduma tu basi pesa wanazo zao za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…