Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Vibaya hivyo mjukuu. Kumbuka naye ana mke na watoto; na wazazi wa kuwaangalia. Huruma kidogo inahitajika![emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwan mie nifanyeje hapo babuuh? Kuhusu mke na watoto hilo ni lake halinihusu hata,

Mie nipo kwake ku enjoy nafas yangu tyuuh. Hahahah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi mtu hana hela; anatafuta mchepuko wa nini sasa???
Atamlisha nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume waliooa utawaweza bas, wenyewe kutwa kutaka kubadilisha ladha, utasikia "sio kila siku maharage", sasa hiyo nyama unayotaka hela unayo ya kununua? Kiruuuuuuh
 
Hahaha coca unayaweza wewe [emoji28].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea mbna jambo ni simple, km anataka kunihusisha na familia yake (mke na watoto) niwe sehemu yao anitambulishe na afuate taratibu kamili.

Sio niwe mchepuko afu aanze kuniletea habari za familia yake mie inanihusu nn sasa? Bas achague aidha mie au familia yake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
CFA4F862-A58F-40FC-9C07-053E3CC7BBF1.jpeg

Cocastic una komwe la mchongo🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea mbna jambo ni simple, km anataka kunihusisha na familia yake (mke na watoto) niwe sehemu yao anitambulishe na afuate taratibu kamili.

Sio niwe mchepuko afu aanze kuniletea habari za familia yake mie inanihusu nn sasa? Bas achague aidha mie au familia yake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wake zao wanaombaga maombi mazito

Shauri ako 🤣🤣
 
Back
Top Bottom