Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,406
Njoo PM please. Right away kama hutojali...Aah! had nlisahau kama nmefunga...tulale kukikucha ntarekebisha

NasinziaaNjoo PM please. Right away kama hutojali...

tuombeane uzima kukikucha ntarekebishaHaya. GoodnightNasinziaatuombeane uzima kukikucha ntarekebisha
duh inaonekana kulikua na mjadala mzito humuMsukuma jamani.
Anyways niwatake radhi single men wote wa humu. Jamani tulianza kama utani kwamba wote humu mmeshaoa; coz sio kitu cha kweli. Personally nawafahamu vijana wengi tu huku ambao hawajaoa; so please ambao tumetishia "ndoano" zenu mtusamehe bure. Utani uliogeuka kuwa a serious talk along the way.
Kukumbushana ni muhimu kwa kweli hata kama hakuna under 10 humu. Yes kama nilivyosema kama umeoa/umeolewa au una mahusiano yako serious na umekutana na mtu na ukamtamani; mwambie tu ukweli ili ajue kusuka au kunyoa.
Kuna wanawake ambao wao naturally wanataka married men; so ukiwaambia ukweli wanakupokea kwa mikono miwili; they have nothing to lose. Au mwingine ajijue ni mchepuko akuchune kimahesabu au afanye makaretee ya kumpindua mkeo.
Kuna watu ambao wapo serious na wanahitaji mahusiano serious; hawana muda wa kupoteza. Huyu ukimdanganya kuwa hujaoa/olewa, akainvest kwako na kuachana na wote; afu baada ya miaka 2 ndiyo anakuja kushtukia kuwa umeoa/kuolewa aisee sio haki. Ni kumpotezea mtu muda na kumuharibia maisha yake. Imagine binti amebeba mimba ndiyo anagundua mwenzie ni mume wa mtu na katu hawezi kumuoa; anaishia kuwa singo mom na mtoto wa kufichwa juu.
Kuna binti December alikuja kulipiwa mahari; harusi ilikuwa soon after Easter. Vikao vimeshaanza kabisa; mara ghafla anapokea simu mtu anajitambulisha kama ni mke wa huyo mchumba wake. Akamtumia na copies za vyeti na picha za familia; kumbe mume alihamia kazi mkoa mwingine ndiyo kafika huko na kuwa MBA. Uchumba ikabidi uvunjwe; imagine how traumatized that lady is. Tusijitafutie laana zisizo na msingi
So tuwe tu wakweli; kuna kina Coca wao hawajali. Uwe tyuuu na ndinga siku mojamoja akanyage mafuta na kujisnap; muende hotels zenu n.k . Siku ukimuacha kwa raha zake anarudi zake kwenye daladala/mwendokasi kwa amani kabisa as anajua kuwa success isn't sexually transmitted. (coca nakutania mwanangu, usinichambe mama ako)
hahahaMnanidanganyia sana mabinti zangu; hamsemi kama mmeoa. Waambieni tu ukweli, ili wakiamua kuwadangia wawadangie tu wakijua hapa hakuna future.
Angalau kwa Baba Joy tunajua kuja Joy🤣🤣
kumbe ?Hapana. Kuna mabinti wengi singo humu
duhTupieni basi picha ya mapaja laini na lile tundu pendwa likiwa limefunikwa na white cotton
rudia tenaWe babu, Mnyamezi ndo naniii...???!!
Leo mida ya wanga nilikuwa na majukumu mazito ya kijamii...
Ngoja niachie kamoja ka morning Glory halafu mida ya wanga tena leo...
Alhamis imeanza vyema.
rudia tena
sijaonaAahahahaaahahahhahahaaaa hata wewe hujaona....
It was transparent.....😁
Ngoja nikiamka kwenye saa tano hivi ntairudia.
We babu, Mnyamezi ndo naniii...???!!
Leo mida ya wanga nilikuwa na majukumu mazito ya kijamii...
Ngoja niachie kamoja ka morning Glory halafu mida ya wanga tena leo...
Alhamis imeanza vyema.
Mhhhh!Tupieni basi picha ya mapaja laini na lile tundu pendwa likiwa limefunikwa na white cotton
Imenipita...dah!Snap itKodak
![]()

Vibaya hivyo mjukuu. Kumbuka naye ana mke na watoto; na wazazi wa kuwaangalia. Huruma kidogo inahitajika!kwa kweli.
Yaan mwanaume ana pesa, kila kitu natimiziwa, afu.nianze kuhoji kaoa au hajaoa? Au nijue kaoa.afu.nianze kuyeyusha wee.
Ni.mwendo wa kuchuna buzzi.tyuuuj uwiiiih

Natafuta mama J wangu Dom

Mama majarida shkamooMsukuma jamani.