Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Binafsi nilijichanganya nikaoa chini ya miaka 20, sasa na karibu miaka 15 kwenye ndoa, mwenzangu yeye na watoto tu, mimi hata pole sipewi, gemu napewa kwa nadra sana yaani sana, na mimi damu ndio kama vile ndio imeanza kuchemka, nikitafuta pa kuponea nakutana na maoni kama ya wakina Heaven Sent daaaah!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wameshindwa kuomba hadi wanaume zao wanatoka nje kutafuta chakula.
Ndo aweze kuomba pindi chakula kipo mezani tayar? Ataanza kuombewa yeye kwani. Hahahah
Kuna sometime naona kama maombi hayaaaidii, wakina mama wengi wanaoshinda kwenye maombi ndoa zao zipo kwenye hali mbaya mnooo
 
Binafsi nilijichanganya nikaoa chini ya miaka 20, sasa na karibu miaka 15 kwenye ndoa, mwenzangu yeye na watoto tu, mimi hata pole sipewi, gemu napewa kwa nadra sana yaani sana, na mimi damu ndio kama vile ndio imeanza kuchemka, nikitafuta pa kuponea nakutana na maoni kama ya wakina Heaven Sent daaaah!

😅😅😅 miaka 15 ya ndoa damu inakuchemka?!!

Huku nje njoo kina Coca wakuchune mpka ngozi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wameshindwa kuomba hadi wanaume zao wanatoka nje kutafuta chakula.
Ndo aweze kuomba pindi chakula kipo mezani tayar? Ataanza kuombewa yeye kwani. Hahahah
Kuna wanaume ni tamaa zao tu, unakuta mke wake ana kila sifa tena na zaidi ya mke mwema ila mtu hawezi kutosheka.
 
Ushaambiwa tumeoa naiaka 19, sasa hivi nina 34 mke kachoka watoto 3 mi ndio ujana umefika kwenye point yake
Ooh
Hatari sana, kweli wanaume wa kuanzia 34+ ndio wamechemka kwa u polygamy..

Na wale wa 36-42 ndio shindikanaa kwenye u polygamy

Kwa case yako kuna mawili, moja re build hiyo ndoa, ifufueni. Ifanyieni masham sham ya kila dizaini irudi kuwa mpya.

Pili njoo huku nje kina Coca wakufanye hamna 🤣🤣
 
Back
Top Bottom