Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Wasukuma tuko wengi sana sema tu tulichelewa kusoma. Sasa kidogo mambo yameanza kubadilika japo bado sana. Itachukua muda na juhudi za makusudi kunyanyuka ila nadhani sasa tumeanza kuendana na mwamko wa kitaifa. Kuna matumaini!Afu sio kisa hivyo,
Mie ni mentality yangu kuwa kila aliyepo ulaya km n mtanzania, bas ni Kabila hili, muhaya, mpare, mchaga, mnyakyusa.
Afu nimekuja kugundua kumbe niko wrong with, humu JF wengi walio ulaya n wasukuma, hongereni sana.