kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
Sure mkuu PILAU tu nataka
Sure mkuu PILAU tu nataka
Liwazo tafuta kwa mkeo tu, huku nje labda kama wataka stressKuna wengine tuna sumbuliwa na ndoa, so hatupaswi kupata liwazo huku?
Mnanidanganyia sana mabinti zangu; hamsemi kama mmeoa. Waambieni tu ukweli, ili wakiamua kuwadangia wawadangie tu wakijua hapa hakuna future.Leo mmeamua kutupeperushia ndege
Kama ndoa zimewashinda; watoke tu wakaoe huko wanapoona kuna liwazo.Liwazo tafuta kwa mkeo tu, huku nje labda kama wataka stress
Hata wanawake humu wote wameolewaMnanidanganyia sana mabinti zangu; hamsemi kama mmeoa. Waambieni tu ukweli, ili wakiamua kuwadangia wawadangie tu wakijua hapa hakuna future
Hapana. Kuna mabinti wengi singo humuHata wanawake humu wote wameolewa
Nipo poa vipi wewe Mkuu ?Ok. Powaa, mzima lakini
Na vijana wengi tu humu wako single wengine tuna watoto Ila hatujaoaHapana. Kuna mabinti wengi singo humu
Single zilizo changamka 😀😀Hapana. Kuna mabinti wengi singo humu
Watu kila wilaya tuna watoto kila palipo na site kuna mbengu zetu 😀😀😀😀😀.. plus wajukuuuNa vijana wengi tu humu wako single wengine tuna watoto Ila hatujaoa
Ni kweli; na pia wapo Married But Available wengi tu. Hao ndiyo nilikuwa nawaongeleaNa vijana wengi tu humu wako single wengine tuna watoto Ila hatujaoa
Fainali uzeeniWatu kila wilaya tuna watoto kila palipo na site kuna mbengu zetu 😀😀😀😀😀.. plus wajukuuu
Ndiyo zikoje hizo?Single zilizo changamka 😀😀
acha misemo ya walio kata tamaaa 🙂🙂Fainali uzeeni
huzijui? pole sajaNdiyo zikoje hizo?
Aaah mwaga tu mbegu kama upepoacha misemo ya walio kata tamaaa 🙂🙂
Ahsante. Nijulishe basihuzijui? pole saja
Yah! Muhimu sanaaa.. kila mahala naachaga vitoto wajukuu ndio usiseme sasa 😀😂Aaah mwaga tu mbegu kama upepo
Walio Married watamu sana.. wana noga hadi kisogoniNi kweli; na pia wapo Married But Available wengi tu. Hao ndiyo nilikuwa nawaongelea