Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,376
Aiseee[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.
Yaan mwanaume ana pesa, kila kitu natimiziwa, afu.nianze kuhoji kaoa au hajaoa? Au nijue kaoa.afu.nianze kuyeyusha wee.
Ni.mwendo wa kuchuna buzzi.tyuuuj uwiiiih
Sawa mkuuKesho asbh na mapema nitakupa direction, sasa utachagua utumie njia gan kuniletea
Eeeeeh???[emoji15][emoji119][emoji119]Mbona mie nilidate na mume wa mtu mwaka mzima na sikujua...sina hamu na nyie viumbe
Matumizi mabaya ya dhambi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Sasa unadate married man afu hana MPUNGA hayo ni matumizi mabaya ya dhambi hahaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kanuni ya sie vidampa, kudate na married man ni yule mwenye pesa tyuuh, hawa wengine wapambane na ndoa zao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe wale ndugu zangu wanajisifia hayo mambo ni wahaya[emoji1787]Mhaya mi kwani nina majivuno ya Kihaya? Umeshaniona najisifia ndinga kali, elimu, pisi kali au kuwa na pesa humu?
Mi Msukuma mshamba mlima nyanya na dengu wa huku Misungwi tu.
Nikumbushe kesho nitakuwekea mjukuu. Picha hazipo kwenye simu kwa sasa
Kwema kabisa mkuu, umeamkaje
Tunakuja kukutembelea ututoe out[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeamka salama kabisa namshukuru MUNGUKwema kabisa mkuu, umeamkaje
[emoji16][emoji16]Matumizi mabaya ya dhambi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Morning loveBabe wangu unalala mapema
[emoji85][emoji85]Beautiful voice..kama diva
Morning to you mkakaView attachment 2162485
Elimu haina mwisho, ngoja nijifunze kuogelea miye [emoji474][emoji474][emoji474][emoji474]
Very good morning to everyone here [emoji560]
Still on bed babe[emoji4]Morning love
How is your day started
Nitapita Tazara leo nikusalimie Mkuu, ila utanisaidia kuvuka mataa hayo. Si unajua mwendo wetu Wazee mdogo mdogo tusije kugongwa na malori bure 🤪🤪Morning to you mkaka
Afu nipo serious mie, wala sio utani.Mi niko Tanzania bana. Njoo hapa Misungwi utanikuta [emoji16][emoji16][emoji16]
Karibu sana mkuu, utakuta nakusubiri [emoji2]Nitapita Tazara leo nikusalimie Mkuu, ila utanisaidia kuvuka mataa hayo. Si unajua mwendo wetu Wazee mdogo mdogo tusije kugongwa na malori bure [emoji2957][emoji2957]