Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,998
- 35,451
Ee..lakin kasema Corona bado ni issue inawezekana alirud kabla ya muda aliotajaWee sema kweli?
Ee..lakin kasema Corona bado ni issue inawezekana alirud kabla ya muda aliotajaWee sema kweli?
Oya[emoji1787]Mambo?!
Hajarudi huku, bado yuko huko marekani.Ee..lakin kasema Corona bado ni issue inawezekana alirud kabla ya muda aliotaja
Wewe ulikua wapi? Ulale sasa hadi kukikucha [emoji23]Oya[emoji1787]
Poa mzima wewe[emoji2321]
Ebu rudia hilo guu
Lililosifiwa na watu wangu wa
Heshima tafadhali[emoji120]
Ni mlinziWewe ulikua wapi? Ulale sasa hadi kukikucha [emoji23]
Huyu ntamkamata tu kukikuchaHajarudi huku, bado yuko huko marekani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ntamkamata tu kukikucha
Mlinzi? Ulilala basi wewe kibarua chako kiko hatarini [emoji23]Ni mlinzi
Shirikishi
Nifanyie wepesi tu
Naanzaje kulalaMlinzi? Ulilala basi wewe kibarua chako kiko hatarini [emoji23]
[emoji1787] pole sana...Naanzaje kulala
Nilikuwa kukagua lindo
Kurejea kitu emputi
Hii ni ID mpya unatumia ama? ID yako ya zamani ni ipi?Unajua nmemuuliza makusud aliniambia atarud kuanzia mwez wa tatu this year ndo mana nikahoji
Mi niko Tanzania bana. Njoo hapa Misungwi utanikuta [emoji16][emoji16][emoji16]Shimba Ya Buyenze eti wee babuuh unakuja TZ mwezi huu?
Nataka uje na vitu fulaan, nikuagize yaan, afu serious
Nitakuja pmHii ni ID mpya unatumia ama? ID yako ya zamani ni ipi?
Niko gizani
Sawa nakusubiri!Nitakuja pm
[emoji849]Unazingua[emoji1787] pole sana...
Aah! had nlisahau kama nmefunga...tulale kukikucha ntarekebishaSawa nakusubiri!
Nimekuja kwako nimekuta kumefungwa [emoji16][emoji16][emoji16]
Mnyamwezi nimemuita sijamsikia ila hii ndo mida yake. Jana aliselfika sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji849]Unazingua
Ngoja nimsubirie
Mnyamwezi
Mida yake hii[emoji1787]
Subir hapo hapo hahaa[emoji849]Unazingua
Ngoja nimsubirie
Mnyamwezi
Mida yake hii[emoji1787]