cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,943
Ahsantee sana.
Ahsantee sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaahYes lov, how are u?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani kuna mtu hamjui??
Mbona hamsemi sasa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kutupeperushia ndege bwana wengine hatujaoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Liwazo tafuta kwa mkeo tu, huku nje labda kama wataka stress
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnanidanganyia sana mabinti zangu; hamsemi kama mmeoa. Waambieni tu ukweli, ili wakiamua kuwadangia wawadangie tu wakijua hapa hakuna future.
Angalau kwa Baba Joy tunajua kuja Joy[emoji1787][emoji1787]
Mkuu, si nilisikia kuwa eti kuwa platinum member ni lazima ulipie au wamebadilisha utaratibu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Madame unalo hiliBaby wangu ukija utakutana na talaka yako
Haiwezekani kutwa nzima leo sijakuona humi. Lazima tu utakua unachepuka wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.Tunaishi katika Dunia ambayo mapenzi yanaunzwa,heshima inanunuliwa,nidhamu inakopeshwa na mbaya zaidi ukweli unafichwa kwa risiti......
❤️🤝[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.
Eheee unacheka nn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Binti wa Mwakiswelelo [emoji23]View attachment 2162147
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli vingi mnoo.Eheee unacheka nn
[emoji8][emoji8][emoji177][emoji177][emoji3590][emoji1666]
Mnanidanganyia sana mabinti zangu; hamsemi kama mmeoa. Waambieni tu ukweli, ili wakiamua kuwadangia wawadangie tu wakijua hapa hakuna future.
Angalau kwa Baba Joy tunajua kuja Joy[emoji1787][emoji1787]
Mkuu unaandika balaaAs long as wahusika wote ni watu wazima (18+) na wanadanganyana kwa hiari yao mpaka wanakutana na hatimaye kujuana kuwa mmoja wao kaoa/kaolewa; na wakaendelea na urafiki wao sioni tatizo. Kama ni dhambi watapambana na Mungu wao...Na mabinti wengine wala hawataki fyucha....ni migegedano tu kwa kwenda mbele na kula maisha ...
Na mitandaoni humu ni sandakarawe tu pata potea sawa na huko mitaani. Na kama tulivyoonywa sana na Mkwere kuwa humu "akili za kuambiwa ALWAYS changanya na zako".
Ila umetoa angalizo zuri Mama Mchungaji. Afadhali enzi zetu miaka ya 60 haya mambo ya mitandao hayakuwepo. Sasa ni vurugu tupu yaani. Poleni sana kwa kweli!
Juzi tu hapa jamaa yangu amegundua kuwa binti ambaye walikutana mtandaoni huko sijui twitter sijui wapi kumbe ni mke wa mtu na yeye keshampenda kabisa kabisa. Yaani mpaka anatia huruma kwa jinsi anavyohangaika...
Ina nini bebeUr voice babe[emoji7]
Naomba kakakola[emoji4]Babe karibu Valentina View attachment 2162049
Samahani mkuu kama kuna kitu nimekosea. Hata wewe ukija kuzeeka utakuwa unaandika balaa kwa sababu muda utakuwa nao bwerere tu! [emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu unaandika balaa