Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Ya limguu la bia [emoji91][emoji91][emoji91]Weeweee.....!!!!
Ipiii...??
Ya limguu la bia [emoji91][emoji91][emoji91]
Ndiyo nkoyi.Aahahahhaaa hiyo ilikiwa marudio ya jana...
Bado upo??
WachaaHahahahaha!!sahihi ile kweli!hapa Dom kuna mmoja anaipakigi pale chako no chako ya maziwa nasemaga nhiiiiiii!!!![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1]anawalaje wadada sasaa!!bila kutongozwaa
[emoji1787]Utawahi as in kuwa na mtoto?
[emoji849]Hii picha Mbona kama ya Kisura wa naniliu [emoji23][emoji23][emoji23]
NimepitwaShombe shombe hiyo kutoka Tanga yalikozaliwa mapenzi. Waja leo waondoka leo? Mweh! Msukuma ukikwama huko ndo imetoka hiyo. Ashukuriwe Allah! [emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji1787][emoji1787]Ushamba tu wa Wasukuma sidhani kama kuna sababu nyingine yo yote. Binafsi sijali awe mweupe mweusi cha muhimu tu awe na tako na asiwe kimbaumbau basi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
OkayNimechelewa tu kupost....[emoji846]
Msalimie mama j
Uyo Yuko kwake MDA huu[emoji4]Msalimie mama j
HowoAcha kabisaa. wanakazi sana wanaopiga trip na hizo gari [emoji3][emoji3]
Acha kukazaNina mashaka na uzoefu wako…
Una details batili kichwani [emoji23][emoji23]
VileNampiga fix[emoji23][emoji23][emoji23]
Sema na mtindi ulikuwaga mkubwa
Ule mwili ulikopotelea hata sielewi.
[emoji849]Kasoro mimi nina flat[emoji1787]
Shauri zako 😹Acha kukaza
Wewe bado
Teke teke kabisa
Huko mida hiiShauri zako [emoji81]