Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
zoezi tramuuu sanaaa jirani.. 😀
Kumbe jirani unadisiplini eeehhh.... 👏👏👏
Naheshimu sana watu wenye consistence in their life ....
zoezi tramuuu sanaaa jirani.. 😀
Kumbe we baaado mtoto mzuri kabisa.
🔥🔥🔥🔥🔥 sanaaa mie hoi na midomo
Nakazia🔥🔥🔥🔥🔥 sanaaa mie hoi na midomo
Kumbe we baaado mtoto mzuri kabisa.
Jirani.. mie kama kinyonga.. nabadiri tu langi kutegemeana na mahala napo katiza 😀😀😀Kumbe jirani unadisiplini eeehhh.... 👏👏👏
Naheshimu sana watu wenye consistence in their life ....
Hamna kamera ya zamani inatoa details hivyo, halafu weeeAsante ila ni zamani hiyo....
Jirani.. mie kama kinyonga.. nabadiri tu langi kutegemeana na mahala napo katiza 😀😀😀
Huu mguu unazungumza mengi sana...
😀😀😀 Practise jirani ukiweza hiyo utafurahia mwenyeweItabidi nikuige mie kuna muda huwa nafeliii.....
Hamna kamera ya zamani inatoa details hivyo, halafu weee
Huu mguu unazungumza mengi sana...
😎😎😎 wapi hiyo jirani
😀😀😀 Practise jirani ukiweza hiyo utafurahia mwenyewe
😎😎😎 wapi hiyo jirani
consistency ni kila kitu kwenye maisha jirani 😎Ntafanya jirani....
Ntaongeza adabu binafsi zaidi ili nifikie lengo la konsistensi.. 🙏.
😎😎 Jirani hakuna mahala nisipo ingia.. ndio nguvu ya kuwa kama kinyonga... kama wao ila sipo na wao 😀😀😀Ahahahahaa jirani unapafahamu, maeneo karibu na nyumbani....
Ila wewe huwa huendi hapo....😁
Nimechelewa tu kupost....🙂Mbona umechelewa kula![]()
consistency ni kila kitu kwenye maisha jirani 😎
Hio programu imekataa kabisa kufanya installation kichwani mwangu..Aahahahahaa teknolojia jamaniii
Hiyo picha imepigwa upya halafu ikasafishwa na teknolojia za sasa...
Ila ya kitambo kidogoo...😅.