Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unajua Historia yetu. Unajua tulikotoka? Unajua makabila mengine ya Kibantu yalikotoka?

Lala mjukuu wangu. Usiku umekua sana. Hivi vyuo mmefunga ama?
Tumefunga yes vipi nitafute visa niibukie huko? Na mie nishangae shangae?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha kabisaa. wanakazi sana wanaopiga trip na hizo gari [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji2][emoji2]nlipanda wish dom to dar sinaga hamu,kwanza mkurya yule muoga wa road balaa!yaani kutoka saa mbili asubuhi cbe dar tumeingia 12 jioni mweehh!nilichukia mnoo!maana lengo kupanda gari ndogo niwahi nkajikuta nachelewa bora ningeamsha na shabiby tu
 
Back
Top Bottom