reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,467
- 29,397
Hahaaa!!!nimepungua Sana'a nilifanya diet mnoo!!Dah! Jamani!
Nilitoka kidogo kwenda shule kumchukua binti yangu. Kumbe nimepitwa na mengi. Nimeona ile tu unafundisha. Na ile ndo ulikuwa mwenyewe sasa dah!