Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwee hivi na mimi naombwa na watu niwapunguzie,dunia hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Ntapunguza nini sasa?

Subiri binamu nirudishe mwili..ntakugawia..
Lile Tako nilikuwa nalo form 5,,lakuvalia suruali na chenji ilibaki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji2][emoji2]nlipanda wish dom to dar sinaga hamu,kwanza mkurya yule muoga wa road balaa!yaani kutoka saa mbili asubuhi cbe dar tumeingia 12 jioni mweehh!nilichukia mnoo!maana lengo kupanda gari ndogo niwahi nkajikuta nachelewa bora ningeamsha na shabiby tu
Pole sana.. siku ingine unamcheki tu Fortnox mnatembea safi. huku unabadili mikao.. wish si uliugua kabisa.. alafu namchezo sana wa kuchukua vichwa CBE hadi kuna siku nikaoata abiria wa kudumu 😀😀😀
 
Back
Top Bottom