Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bado upo mpendwa [emoji23][emoji23][emoji23]
ndio naelekea kwa bed hiviπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈ
 
[emoji3] Fj cruiser kama gari ya vitani, muonekano wake upo kikazi sana haitabasamu kama RR.. downgrade uende kwenye G-wagon [emoji51][emoji51]
Ni kagari kazuri kwa kweli. Nilikanunua 0KM na nimeshakasukuma masafa ya kila aina. Hakina tatizo lo lote. Sema wameshaacha kuvitengeneza ningekula mchicha kwa miezi kadhaa ninunue kengine kapya nije nako kutanulia. Nadhani viko vichache huko. Unaimarisha tu suspension kidogo masafa ya kutoka Dar - Usukumani kinafika aisee. Nilishawahi kukasukuma kutoka Georgia - New York na kugeuza mpaka California - Utah na kurudi Georgia bila ishu yo yote...na kanatazamika...na kako juu kidogo...
 
Pole sana.. siku ingine unamcheki tu Fortnox mnatembea safi. huku unabadili mikao.. wish si uliugua kabisa.. alafu namchezo sana wa kuchukua vichwa CBE hadi kuna siku nikaoata abiria wa kudumu [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji2][emoji2]sante nshapoa sasa hivi atakua dereva wangu
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]ulipata waat?!!we uko mtu mbaad ulielewa somo kwa pasenjaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom