Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,509
- 235,214
Mungu ni mwema.Sasa ukinenepa si 80 hukoo
Ameacha niwe kimbaombao 🤣
Nikipiga hatua kidogo Hadi 60 , vikwazo vinakuja nakonda naanza upya
Mungu ni mwema.Sasa ukinenepa si 80 hukoo
Ishu ya kuibiwa sikuifuatilia vizuri asubuhi. Umeibiwa nini? Pole sana aisee. Wezi wanarudisha watu nyuma sana!70 naokotea wapi na hela sina [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Afu kuna watu tena wananiongezea stress kwa kuja kuniibia..
Ila dunia haina usawa Dah [emoji119]
Shemeji yake niko hapa nitakulindia tu bila wasiwasi mkuu9.8ms squared nakuachia lindo unilindie reymage Kaka yako nimechoka
Vyombo vya usafiri wengine ni hoby mkuu.. hatuchoki ikija kwenye habari ya vyombo.. wengine ndio burdan yetu.. Napenda sana Trip ya Dar - mwanza nikivurumisha chombo langu alafajiri mwanza jioni tu nakuwa nimeingia.. Trip nzuri sanaNikiwa na ishu ya hivi vyombo vya usafiri nitakuwa nakuja PM kuuliza. Usinichoke [emoji1545]
Asante Sana hapa umeongezeka komandoo assurance is 100%Shemeji yake niko hapa nitakulindia tu bila wasiwasi mkuu
😀😀😀 nipo nina kimeo cha broker toka mchana kaniweka mtu kati naona taabu kuitapika ndoana 😀😀😀 nakufa nayo kijerumani9.8ms squared nakuachia lindo unilindie reymage Kaka yako nimechoka
Njaaa tayari dah😊😊
Nakuamini hio sekta broker ataimba haleluya soon..all the best[emoji3][emoji3][emoji3] nipo nina kimeo cha broker toka mchana kaniweka mtu kati naona taabu kuitapika ndoana [emoji3][emoji3][emoji3] nakufa nayo kijerumani
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Ashindwe tena ateketee.... sitaki maradhi mie kayakoroga ayanywe na wakwao!! [emoji108][emoji108][emoji108]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shem lohShemeji yake niko hapa nitakulindia tu bila wasiwasi mkuu
Ameen nawe piaUsiku mwema wakuu. Mungu Awabariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Aya[emoji4]Twasubiri keshoo[emoji2]
Mbona umechelewa kula[emoji848]