Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,406
Mtakatifu Anna umeona lakini meno hayo. Bosi Ledi hana kasoro yaani dahKaribu tulale mkuu!View attachment 2161084




Mtakatifu Anna umeona lakini meno hayo. Bosi Ledi hana kasoro yaani dahKaribu tulale mkuu!View attachment 2161084




Utaitupia kesho mkuu!Kuna Moja nilitaka niipige na mamaj niweke humu,
Bahat mbaya kaniponyoka HARAKA![]()
Nilikua naona Ni heri nisome mchana non stop kuliko usiku usingizi niliujali SanaHahahaha!!nawe pia goodnight enzi za advance hukutobaga!!ahsante nawe kwa kampani
Twasubiri keshooKuna Moja nilitaka niipige na mamaj niweke humu,
Bahat mbaya kaniponyoka HARAKA![]()

Uko vzr mchana Mimi jua linachemsha ubongoo!!mnoo!Nilikua naona Ni heri nisome mchana non stop kuliko usiku usingizi niliujali Sana
😀😀😀 Fj ni heshima tu, huku zipo chache kwa miezi kadhaa unaweza kuziona mbili au tatu chache sanaaa.. gari ikisha achwa kuzalishwa changamoto.. mmbadala wake mzuri naona Jeep Wrangler.. hiyo kwa safari za dar usukumani ni mnuso.. na safari ya ukanda huo tamu sana kuanzia nzegaaaNi kagari kazuri kwa kweli. Nilikanunua 0KM na nimeshakasukuma masafa ya kila aina. Hakina tatizo lo lote. Sema wameshaacha kuvitengeneza ningekula mchicha kwa miezi kadhaa ninunue kengine kapya nije nako kutanulia. Nadhani viko vichache huko. Unaimarisha tu suspension kidogo masafa ya kutoka Dar - Usukumani kinafika aisee. Nilishawahi kukasukuma kutoka Georgia - New York na kugeuza mpaka California - Utah na kurudi Georgia bila ishu yo yote...na kanatazamika...na kako juu kidogo...
Awapi!!😜😜😜😘kuna wanaume wanafaidi
Hips na tako loote lile 50kg?!!bina acha baasiBina ungejua Nina kilo 50
70 naokotea wapi na hela sina 🤣🤣🤣Uko underweight. Uzito wako sahihi ni kilo angalau 70. Halafu uvae sasa hilo gauni la leo mweh!![]()
😀😀😀😀.. nakulaga vichwa vya wasouo tu.. na dalai pale kabla chombo haijafika nampa maelekezo.. sibebi bei watu.. abiria wangu wanakula saba bataaa yaani.. 😀😀😀😀..sante nshapoa sasa hivi atakua dereva wangu
ulipata waat?!!we uko mtu mbaad ulielewa somo kwa pasenjaa
![]()
Nikiwa na ishu ya hivi vyombo vya usafiri nitakuwa nakuja PM kuuliza. UsinichokeFj ni heshima tu, huku zipo chache kwa miezi kadhaa unaweza kuziona mbili au tatu chache sanaaa.. gari ikisha achwa kuzalishwa changamoto.. mmbadala wake mzuri naona Jeep Wrangler.. hiyo kwa safari za dar usukumani ni mnuso.. na safari ya ukanda huo tamu sana kuanzia nzengaaa

Ndiyo binaHips na tako loote lile 50kg?!!bina acha baasi
Boss ledi sijaona ☹️Awapi!!😜😜😜😘
Sasa ukinenepa si 80 hukooNdiyo bina
Rest assured mikono salama ya huyo mwambaa9.8ms squared nakuachia lindo unilindie reymage Kaka yako nimechoka





Ashindwe tena ateketee.... sitaki maradhi mie kayakoroga ayanywe na wakwao!! 👌👌👌Ndo maana ndo maana...paacha...![]()