Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Ndio hapo sasaKwamba wanatudanganya na vitenge vyetu?
Ndio hapo sasaKwamba wanatudanganya na vitenge vyetu?
hazijafikia zile zako
Badala unisaidie dah!Eeh usimuache hivihivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Poaah.Pitia kaunta hapo uchukue vinywaji vyako nilishalipia[emoji2957]
Nimezihifadhi[emoji1787]
Watoto wa arachuga bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ring finger uwa tu naitia namna gani vipi
Hiyo siku nikabadilika mwee
Akutese kidogo, sio mbaya[emoji1787][emoji1787]Badala unisaidie dah!
Tena nyote wawili tuje tukae chini tuzungumze
Yaliyomo yamo[emoji4]Wamo Nini Lecturer?
Haya kesho ni siku ntakukumbusha.Nasahau student mambo mengi
[emoji1787][emoji1787]Haya magauni aisee mnataka kua Kama marehemu mama rwakatare bado likofia tu
🎼🎷Maua mazuriii,yapendezaaa,ukiyatazama,yanamereteee.......🎼Nimekurudisha wapi?
Elegant
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa barabarani uliporusha ile ya mwanzo fasta nikatafuta sehemu nikapaki isinipite. Polisi kaja kaniuliza are you OK nikamjibu I am OK officer huku moyoni najisemea ofisa boya naye huyu. Hata hajui kuwa Bosi Ledi huku keshashusha mambo. Rahaa! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Leo ni siku yangu dadeki!
Utafurahi mwenyeweHaya kesho ni siku ntakukumbusha.
Nime safisha picha kifuaaa ni 🔥🔥🔥🔥🔥
Tena akome!Nimezihifadhi[emoji1787]
Acha kabisa HS
Umechukua vya shilingi ngapi? Usije kuzidisha bill bure, Babu mwenyewe ana hela ya mawazo🤪🤪🤪Poaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtajua hamjui,.Tena nakuja nimewabeba wenzangu
Vitu fortnox anapenda [emoji91]