Mkuu, wewe na Mtakatifu Anne ni ndugu?
Hapana sina Mtu yeyote ambaye ni MchungajiMkuu, wewe na Mtakatifu Anne ni ndugu?
😃hahahaha.duh si mchezo!
Mkuu, wewe na Mtakatifu Anne ni ndugu?

Una buku hapo??
Ukoko wapi we dogo unatudorishia 💅
Venye tunawachunguliaga ma teller
Dah huyo mwizi nomaUkoko wapi we dogo unatudorishia 💅
Wanasemaga mwizi aibi asipo pajua au ambapo hajasoma rada ipasavyo.Dah huyo mwizi noma
Anatoa funguo kwenye holder??
Alikuwa anakujua huyo😂
Hata aliyeiba leo nahisi anatujua.
Mwee ifike muda hizi kucha ikatike hata moja ili nizikate.
Nigawie mguuuuu
Huo wenye una ugimbi? 🤣🤣🤣Nigawie mguuuuu
Tuunganishe mguu mdogo etu
Huwa una kucha nzuri hata bila kufugaWanasemaga mwizi aibi asipo pajua au ambapo hajasoma rada ipasavyo.
Mie zangu zimekuwa laini sijui na haya majeli?? Zinakatika hovyo, sahivi zipo za kiuanafunzi
Hata nguvu ya kuziphotoa sina