ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,487
- 126,757
Huwa napitwa sana, imekuwaje leo! Wenye meno wanaenjoy, sie vibogoyo..dah!
Huwa napitwa sana, imekuwaje leo! Wenye meno wanaenjoy, sie vibogoyo..dah!
Kwa Boss Lady mtachemsha. Huyo aliumbwa wakati Muumba katulia sana [emoji91][emoji91][emoji91][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Tuunganishe mguu mdogo etu
Tumfikie boss ledi
Mwee 😹😹😹Guu la bia ng'wanawane. Bagosha [emoji91][emoji91][emoji91]
Hapo kwa juu likitoka goti 😹
Mmmmmmh
Me za miguuni ndio naonaga nzuri zikirefuka hata kidogo.Huwa una kucha nzuri hata bila kufuga
Wengine bila kufuga zinakuwa kama maganda ya tangawizi
MwenyeweMmmmmmh
Alisema sahivi kapungua kwahiyo huo mmoja tu na wako tunamkaribiaTuunganishe mguu mdogo etu
Tumfikie boss ledi
Mimi kile kidole cha Pete kina ukucha mpana kama bakuli la mboga.Me za miguuni ndio naonaga nzuri zikirefuka hata kidogo.
Changamoto kidole gumba mweee
Sijui ndiyo Mungu hakupi vyote [emoji19]
Za mikono nikifuga zikiwa tu kiasi zinapendeza, ila hivi sizifurahii hata.
Wangu umeuona lakini?[emoji23]Alisema sahivi kapungua kwahiyo huo mmoja tu na wako tunamkaribia
Boss ledi mahondaw ni habari nyingine.Kwa Boss Lady mtachemsha. Huyo aliumbwa wakati Muumba katulia sana [emoji91][emoji91][emoji91][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Emu nionyesheWangu umeuona lakini?[emoji23]
Niweke ile miwa yangu humu?😂Emu nionyeshe
Mpenzi 😘😘.. nenda kalaleEmu nionyeshe
Sitakiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Boss ledi mahondaw ni habari nyingine.
Labda tuchanganye na wa Heaven Sent ndio tutamkaribia kwa mbaaali sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]Achana nayo mkuu
Usifute picha utakua unakiuka taratibu za uzi huu utapewa adhabu [emoji16]