Selfika na JF: Snap it. Show it

It's not a very nice thing to do maana ni unyanyasaji, but, it works. Cha muhimu ni namna unayofikisha ujumbe...ila pia ni muhimu kuhakikisha the person in question is strong enough for that. Dogo alinenepa sana hapa katikati....nikamtania weee mpaka karudi kwenye mwili wake wa siku zote.

Sasa kahamia kwangu siku akijisikia kunichosha 😬😬
 
Watu wembamba...

Wasiokunywa pombe...

Wasiovuta sigara....

Wasio............

Wakijilinganisha na upande wao kinzani, watu hawa huwa wanajiona kama vile hawatakuja kufa. Utafikiri kila anayekufa ni bonge, mlevi au mvuta sigara!
 
Well put together. πŸ‘

Enjoy the show. Mkuki kwa nguruwe... πŸ˜„
 
🀣🀣🀣🀣

Unfortunately, Israeli hachagui wala habagui 😏
 
@mahondaw shouzzzzzzzz hebu soma hapa,
 
Nakubaliiiiiii shouzzzzzzzz ake,
 
Thanks!!!

Used to hate them before.....😡😡😡
Sijui ilikuwa utoto πŸ₯΄
Unaweza usiuone uzuri wako, lakini the person next to You akauona. Kwa huo mguu ulivyo mzuri, can't imagine the face. 😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…