Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,555
Weka picha..Huu uzi bado upo?
Weka picha..Huu uzi bado upo?
Niambie ni sehemu gani unafanyia analysis ili nikituma nihakikishe zinaonekana.Yeah mkuu
Usoni...Niambie ni sehemu gani unafanyia analysis ili nikituma nihakikishe zinaonekana.
Zipo kule juu mwanzoni mwa uziWeka picha..
Can't reach em...Zipo kule juu mwanzoni mwa uzi
Basi ziacheCan't reach em...
Kwelii kabisaa akiHahaha ni kweli sakayo....!
Unafanana na umri wako kabisaa jamaniuna nini mwandiko?
Karibu sana jamaniTeh teh..Nimewahi kuwa muumini pale..Basi ntarudi.
Huu uzi hujauanzia mwanzo mpendwa page ya kwanza nimetupia picha yangu na sijafuta ile picha.
Waoooh haya nasubiri kwa hamu hio zawadiPatience young lady, patience!
Zawadi ipo na itakuja.
Lazima tukupe.

Savvana sinywi
Nakunywa Tusker
Kilimanjaro
Lite zote
Budwiser
Heineken
Hennessy
Grants
Konyagi
Safari
J&B
...
.
.
.
.
Tatizo lako mkuu hata tukitaja hizo zawadi hautoi, ile 20 ndiyo ukaamua kunikazia like nobody's business.







Waoooh haya nasubiri kwa hamu hio zawadi
Kitongathanks God, nimefika salama jijini mbeya.
picha yangu ya leo nikiwa safarini kuja mbeya.
kama wewe ni mzoefu wa safari za back to back za dar-morogoro-iringa-mbeya nitajie sehemu ambayo nimepiga picha hii.
ukipatia nitakupa zawadi.
View attachment 1247495
Kengine?Tunaomba kapicha princess
Ngoja niongeze bando kabisaKengine?

Hiyo picha itakua na GB 10😆Ndioo..Ngoja niongeze bando kabisa![]()