Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

thanks God, nimefika salama jijini mbeya.

picha yangu ya leo nikiwa safarini kuja mbeya.

kama wewe ni mzoefu wa safari za back to back za dar-morogoro-iringa-mbeya nitajie sehemu ambayo nimepiga picha hii.

ukipatia nitakupa zawadi.
IMG_20191028_224020.jpeg
 
Tatizo lako mkuu hata tukitaja hizo zawadi hautoi, ile 20 ndiyo ukaamua kunikazia like nobody's business.
thanks God, nimefika salama jijini mbeya.

picha yangu ya leo nikiwa safarini kuja mbeya.

kama wewe ni mzoefu wa safari za back to back za dar-morogoro-iringa-mbeya nitajie sehemu ambayo nimepiga picha hii.

ukipatia nitakupa zawadi.
View attachment 1247495
 
Mbeya ndio mkoa sijawahi fika na ninatamani kufika.. sijui nitafikaje huko. So Occupied
 
Back
Top Bottom