Maserati siyo mbaya, tena litafaa tu.Heheheeeeeee haya bwana Ngoja nijiite Maserati
Roho yangu imefurahi kuona miguu yako angalau ntapata usingizi.
😂😂kumbe bado wana jf hio record mnaikumbuka.Maserati siyo mbaya, tena litafaa tu.
Lakini hivi ndiyo wewe uliye mchachafya Jestikilla siku ile: Mbona unaonekana mpole ???
Acha hvo..dah
Ungesogeza iyo chupa apo ungetisha sana...



Aitseee ..mama mdogo weee ni next level,..Savvana sinywi
Nakunywa Tusker
Kilimanjaro
Lite zote
Budwiser
Heineken
Hennessy
Grants
Konyagi
Safari
J&B
...
.
.
.
.
Hahahahaahaha!kumbe bado wana jf hio record mnaikumbuka.
Mimi ni mpole sana sana...ila basi tu ulikua ugomvi wa panga hauamuliwi kwa fimbo
Huu uzi hujauanzia mwanzo mpendwa page ya kwanza nimetupia picha yangu na sijafuta ile picha.
thanks God, nimefika salama jijini mbeya.
picha yangu ya leo nikiwa safarini kuja mbeya.
kama wewe ni mzoefu wa safari za back to back za dar-morogoro-iringa-mbeya nitajie sehemu ambayo nimepiga picha hii.
ukipatia nitakupa zawadi.
View attachment 1247495
Hahahaaaaa halafu hakutokea hata mmoja wenu akanipa hata soda nishushie! Ndio maana nikaona ngoja ni log off kwanza na jf yenyewe maana kwa kivumbi kile ilibidi nipewe NOBELHahahahaahaha!
Kile kifurufumbi hatuwezi kisahau aisee.
Aisee for sure, itabidi tukutafutie zawadi.Hahahaaaaa halafu hakutokea hata mmoja wenu akanipa hata soda nishushie! Ndio maana nikaona ngoja ni log off kwanza na jf yenyewe maana kwa kivumbi kile ilibidi nipewe NOBEL
Yani serious nastahili zawadi🤣Aisee for sure, itabidi tukutafutie zawadi.
Zawadi utapewa, ondoa shaka.Yani serious nastahili zawadi![]()
Roho yangu imefurahi kuona miguu yako angalau ntapata usingizi.





. Lala bbyHahahahahahahahahahaha nmecheka kwa nguvu natumaini zawadi inakuja wiki hii hiiZawadi utapewa, ondoa shaka.
Ile kazi ilikuwa nzito.
Acha hvo..dah
mmmh miguu iyo mama ..utatutoa damu aise![]()
Ungesogeza iyo chupa apo ungetisha sana...
Ila mimi Nina tabia mbaya..khaa!!