smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,575
- 12,186
ni kweli, hapo ni mwanzo wa mlima kitonga ukitokea morogoro.Kitonga
Kama sijakosea
ni kweli, hapo ni mwanzo wa mlima kitonga ukitokea morogoro.Kitonga
Kama sijakosea
ni kweli hapo ni katikati ya morogoro na iringa ila sio jirani na ruaha. hapo ni mwanzo wa mlima kitonga kama unaelekea iringa ukitokea morogoro.Haha Mkuu hapa ni katikati ya Morogoro na Iringa kabla hujafika Ruaha
Hiyo picha itakua na GB 10![]()

Anza wewe 😂Weka hata viganja![]()
.Anza wewe![]()
yule siyo mimi
Weka hata lips basi...Hello Tanzania 🖐View attachment 1247717 jamani muweke picha hata za vikombe Sakayo
Hiki ndio kiganja chako?
UtadataWeka hata lips basi...
Ntakaribia..Karibu sana jamani
Huwa nakaaga mbele kabisaa karibu na madhabahu
Ukinidatisaha ww hakuna shida....❤❤❤❤Utadata
Ntakaribia..
Hapo hauhitaji hata kunyanyuka..Upepo wa kisulisuli unakufikia mubashara kabisa..Ila muache kutega wachungaji..






Ewaaa
Weka hata kapicha ka nywele.
♥️Savvana sinywi
Nakunywa Tusker
Kilimanjaro
Lite zote
Budwiser
Heineken
Hennessy
Grants
Konyagi
Safari
J&B
...
.
.
.
.
Nina kiparaWeka hata kapicha ka nywele.
😂😂😂 karibuEwaaa
Naona chai nzito kabisaa!