sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Hahaha ni kweli sakayo....!Hapa umenisingizia mimi jamani!
Sijui hata vinapatikana wapi mimi...
Hahaha ni kweli sakayo....!Hapa umenisingizia mimi jamani!
Sijui hata vinapatikana wapi mimi...
Hahahah nipooo toka saa 11 asubuhi..
Kuna mtu kakumiss
Sikufundishwa kupika, nimechangaya vyote vinavyotakiwa vimechemka, nikaepua.
Karibuni. View attachment 1247434
unachafua hali ya hewa jf
Bahati nzuri niko peke yangu, nikutumie uber ikufuate tujumuike wote?Msalimie anaekunywa hiyo savana
Bahati nzuri niko peke yangu, nikutumie uber ikufuate tujumuike wote?
Kuna ki auta kizima cha savana hapa ndani.
My stuff....in redSavvana sinywi
Nakunywa Tusker
Kilimanjaro
Lite zote
Budwiser
Heineken
Hennessy
Grants
Konyagi
Safari
J&B
...
.
.
.
.
Savanna. LolSikufundishwa kupika, nimechangaya vyote vinavyotakiwa vimechemka, nikaepua.
Karibuni. View attachment 1247434
Nikuone basiNiambie mkubwa...
Labda pm hapa nope..Nikuone basi
Haya njooLabda pm hapa nope..
Ilivyofungwa hvo napita wapi.. labda wwHaya njoo
My stuff....in red
Jmaa.. nilimiksi hyo JackD doo kidogo nizime..Tupo pamoja
Teh teh..Nimewahi kuwa muumini pale..Basi ntarudi.Ndiwooo
Mlima wa moto
Savvana sinywi
Nakunywa Tusker
Kilimanjaro
Lite zote
Budwiser
Heineken
Hennessy
Grants
Konyagi
Safari
J&B
...
.
.
.
.