Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tumia polite language dogo! unaomba kibabe sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji23]
Oooooh sorry shouzzzzzzzz, ndo unirekebishe sasa, si unajua mwenyew mie waru waru na utoto unachangia, basi ndo uniweke ktk mstari mnyoofu [emoji4][emoji4][emoji4]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Sasa wanavyomsema alivyonenepa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani nimecheka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenye kunenepa mie kwangu yuko fresh, sema apunguze tumbo tyuuh, ila sasa akiwa mbele ya camera, woiiiiih dunia yote yake khaaaah. Akianza kupiga kimomboo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapana mtakua mnamkosea kabisa shos! Mjep aheshimiwe tafwazali wee huo moyo alionao sio wa nchi hii ujue! wengine vocha za jero tu wanamute mazima kama hawajaona maombiya vocha nashauri jina lenye heshima zake pullliiizzzzzzzzzzzzzzz![emoji12][emoji12][emoji118]
Wewe na Mjep tutajenga mabango yenu aisee
Tunaweka na lamitation.
 
Back
Top Bottom