Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Boss lediiii mjengoni[emoji91]
Nilikumisss hadi basi.

Naona kama Kuna kitu nakikosa usipokuwepo[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]

Bora umekuja boss ledi wetu utupie maselfie humu Uzi uchangamke.
usiwaze mdogo wangu mama la mama mjengoni!! mwite na cocastic na wengine... I do miss them alot!
 
Mjep Mr vocha uko poaaah?
Haya tunasubiri vocha hapa sie jaman uwiiiiih. [emoji23][emoji23]
 
Afu hunenepi woiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa chakula gani haswa ninachokula ninenepe??
Hapa naweza kuja kula usiku..kaugali kadogo

Btw nimetoka kule jukwaa Lenu,nimecheka nusu nizimie
Screenshot_20220321-100328.jpg
 
Back
Top Bottom