cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,321
- 187,985
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaa yaan.Kama yupo huyo mtu tutadeal naye jumla jumla
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaa yaan.Kama yupo huyo mtu tutadeal naye jumla jumla
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee unaogopa kwan sasa?Watu wabaya
Wanasemaga mtaachana
Unakuta kweli mmeachana[emoji1787]
utulie nitakuhifadhiaJion sitakuwepo mie hapa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Dah mimi naonaga kama pastor ananikata jicho mwenyewe yaani
Mabenchi flani hivi ya makanisa yetu huku Roman Kkkt na kmt..kuna namna yamekaa yaani mtu anaweza kusimamia kwenye kimbao akainuka kidogo.
Unakuta watu wamsimamia kile kimbao lakini wapi,wanabembea hata begani hawanifikii.
Miaka Ile ya Ukoloni nasoma hakukuwa na alama "A" ila nilifauru 💪[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inawezekana ulipata A hili somo aisee
Weuweeeeeehh!!! Will be here peruzing [emoji144]
Sawa, utaniambia nakukuta wapi nikuleteeMoja tu yenye hiyo chata
Ntakula mwezi mzima huku nazunguka nayo huku na kule
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] karibu sana.. uzuri bosi ledi hana makuu [emoji23][emoji12][emoji12]Nikipata pisi ya namna hii natulia kabisa, nasubiri kufa tu...
Rangi ipi boss lady jamani? Ngoja nianze kuzihudumia; chawa wako Anne kaninyanyasa sana na rangi zake 🤣Hizo kucha Anne akasome mbona![emoji8][emoji3577] Rangi imekaa penyewe!
pole mamy n get well soon !Leo nipo poa
Homa kwa mbali vipi wewe mzima ?
Thank you [emoji1545].
Na ntakunyanyasa hadi uende kupakaRangi ipi boss lady jamani? Ngoja nianze kuzihudumia; chawa wako Anne kaninyanyasa sana na rangi zake [emoji1787]
Boss ledii ni mtu wa watu mno[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] karibu sana.. uzuri bosi ledi hana makuu [emoji23][emoji12][emoji12]
Heaven Sent nakuona unanichapa dislike.. umeanza ushari eeh
Kosa gani jamani... kwani uongoo 🙄🙄Kosa lako si umeshalijua?🤣🤣🤣
Hapa Songwe Airport ,,utatupia sasa nje ya geti huku IfisiSawa, utaniambia nakukuta wapi nikuletee
[emoji1787]Miaka Ile ya Ukoloni nasoma hakukuwa na alama "A" ila nilifauru [emoji123]
[emoji23]Hizi kamba zako zinatukaba bana
Sawa, Kuna mtu anakuja huko nitamwagiza akuleteeHapa Songwe Airport ,,utatupia sasa nje ya geti huku Ifisi
Unataka niweke pete yangu humu waroge ivunjike ndoa inishinde[emoji846][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee unaogopa kwan sasa?