Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Nimekuja mbio
Nikajua unaveshwa pete
Siku nyingine utasababisha
Ajali[emoji1787]
Nimekuja mbio
Nice outfitNipo shos nipo... weekend nilitingwa na harusi dia..
Kama sijakosea Rangi ya Chakorii ya harusi!View attachment 2159146
Shouzzzzzzzz mbna umenitamanisha mnoo hilo vazi, [emoji7][emoji7][emoji7]Nipo shos nipo... weekend nilitingwa na harusi dia..
Kama sijakosea Rangi ya Chakorii ya harusi!View attachment 2159146
Design ya ngahawa imefikia wapi 😃😃
Na hivi mmenisifia; mtajuta mwaka huuTunahitaji vocha sie hapa, tena mie za halotel tyuuh.
Username "voucher" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mida ya jioni jioni mkuuTunahitaji vocha sie hapa, tena mie za halotel tyuuh.
Username "voucher" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We mtoto weehNipo shos nipo... weekend nilitingwa na harusi dia..
Kama sijakosea Rangi ya Chakorii ya harusi!View attachment 2159146
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afadhali nipunguze hapa machungu
Ahsante boss lady[emoji173]
PendejaaaaaaNipo shos nipo... weekend nilitingwa na harusi dia..
Kama sijakosea Rangi ya Chakorii ya harusi!View attachment 2159146
Woiiioii[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Nipo shos nipo... weekend nilitingwa na harusi dia..
Kama sijakosea Rangi ya Chakorii ya harusi!View attachment 2159146
Umepona mafua[emoji848]Nice outfit
Ulipendeza dear
Tutanyanyasika sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana mtakua mnamkosea kabisa shos! Mjep aheshimiwe tafwazali wee huo moyo alionao sio wa nchi hii ujue! wengine vocha za jero tu wanamute mazima kama hawajaona maombiya vocha nashauri jina lenye heshima zake pullliiizzzzzzzzzzzzzzz![emoji12][emoji12][emoji118]Tunahitaji vocha sie hapa, tena mie za halotel tyuuh.
Username "voucher" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wanao tumia app wauaweee😎😎Natumia app[emoji1787]
Sijaona kitu mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti tutoto[emoji1787]
Miguu ya kiafande sele
Hatupo mbali,Mimi ni 39 na 40 ..inategemea na kiatu chenyewe ila sanasana 39.
Nina bonge la guu yaani.
Dah nikivaaga viatu virefu unakuta nipo kule juu...nikiangalia tule tutoto naimba Nato,tunaniangalia Kwa mbaliii kule juu.
Maombi yangu yamepokelewa
Mjep hii nahisi imoo 😃😃