Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Duuuude!!! Wapi huko wanafanya huu ujinga?😳😳
Duuuude!!! Wapi huko wanafanya huu ujinga?😳😳
I knowww....I knoww.hata mmbuyu ulianza kama mchicha 😃😃
Haya oga vizuukae kwenye makochi ukae Kwa utulivu.nakuja kuachia kituTuma selfie bas, nipo pekee angu hapa.
Nipo hapa tayari yaan.Haya oga vizuukae kwenye makochi ukae Kwa utulivu.nakuja kuachia kitu

V8 4 life, hahahahShort break √ NjombeView attachment 2157710View attachment 2157711
Eehh!!!ndio sura za kiwaifu material km chikumbalaga!!!Sura ya mjomba
Ndio ipi hiyo
Kama eno eno
Aliegombea ubunge kisarawe
Haya oga vizuukae kwenye makochi ukae Kwa utulivu.nakuja kuachia kitu

Twenzetu njombeEehh!!!ndio sura za kiwaifu material km chikumbalaga!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Unyama mwingi mwaisa twende njombeV8 4 life, hahahah
Tonight lazima kama ukiwepoAnza nimalizie mpendwa...
Leo niko shifti ya naiti....
Nakusubiri uanze...
Nipitie Dom hapa!Twenzetu njombe

navopenda safari kama kiwaviMuongo tyuuh wee, c ungenambia bas ningepata na lift, nigekuacha njombe, mie ningeteremka bondeni zaidi,Unyama mwingi mwaisa twende njombe

HallelujahNaona kama maono, kumbe ndivyo ulivyo,
Naona kama maono, kumbe ndivyo ulivyo,
Nilidhani 'kama ndoto, kumbe ndivyo ulivyo,
Nilifikiri nachanganyikiwa kwa kusema hivi, kumbe ndivyo ulivyo
Umekuwa mpole, umekuwa mwenye huruma, kumbe ndivyo ulivyo ooh,
Si mwepesi wa hasira, baba ni mwingi wa rehema, ndivyo ulivyo oh,
Wewe unatuwazia mema, kuliko tunavyodhani, ndivyo ulivyo,
Mawazo yako hayafanani na mawazo ya wanadamu, baba ndivyo ulivyo,
Nani kama wewe, mwepesi wa kusamehe, ndivyo ulivyo ooh,
Wema wako hauneneki katikati ya wanadamu Jehova,
Kumbe ndivyo ulivyo; Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo
Ooh ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga.
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Tulia kwa Mungu, hushuka na kutufariji, Baba kumbe ndivyo ulivyo oh,
Usiku na mchana hulali husinzii Mungu uliye hai, ndivyo ulivyo ooh,
Pale tusipoweza kutenda wenyewe kwa mikono yetu Yehova, ndivyo ulivyo ooh,
Huingilia kati 'yale yote tunayoshindwa wewe ndivyo ulivyo,
Msaada wakati tunapochoka, Yehova Ndivyo ulivyo ooh;
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Mungu uliwakusanya walioachwa, Ukawakumbatia baba ndivyo ulivyo,
Waliokosa tumaini weka tumaini jipya kwao, ndivyo ulivyo ooh,
Waliokata tamaa, wewe unawatia nguvu baba ndivyo ulivyo ooh,
Vile nionavyo mimi si kama utazamavyo baba kumbe ndivyo ulivyo oh,
Huruma zako zimevuka vilindi vya bahari, Mungu we eeh kumbe ndivyo ulivyo,
Hakuna Kupinga;
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Nipitie Dom hapa!navopenda safari kama kiwavi
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app

likizo bado wee.Aminaaaaaaaaaaaaaaaaaah!!!Naona kama maono, kumbe ndivyo ulivyo,
Naona kama maono, kumbe ndivyo ulivyo,
Nilidhani 'kama ndoto, kumbe ndivyo ulivyo,
Nilifikiri nachanganyikiwa kwa kusema hivi, kumbe ndivyo ulivyo
Umekuwa mpole, umekuwa mwenye huruma, kumbe ndivyo ulivyo ooh,
Si mwepesi wa hasira, baba ni mwingi wa rehema, ndivyo ulivyo oh,
Wewe unatuwazia mema, kuliko tunavyodhani, ndivyo ulivyo,
Mawazo yako hayafanani na mawazo ya wanadamu, baba ndivyo ulivyo,
Nani kama wewe, mwepesi wa kusamehe, ndivyo ulivyo ooh,
Wema wako hauneneki katikati ya wanadamu Jehova,
Kumbe ndivyo ulivyo; Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo
Ooh ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga.
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Tulia kwa Mungu, hushuka na kutufariji, Baba kumbe ndivyo ulivyo oh,
Usiku na mchana hulali husinzii Mungu uliye hai, ndivyo ulivyo ooh,
Pale tusipoweza kutenda wenyewe kwa mikono yetu Yehova, ndivyo ulivyo ooh,
Huingilia kati 'yale yote tunayoshindwa wewe ndivyo ulivyo,
Msaada wakati tunapochoka, Yehova Ndivyo ulivyo ooh;
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Mungu uliwakusanya walioachwa, Ukawakumbatia baba ndivyo ulivyo,
Waliokosa tumaini weka tumaini jipya kwao, ndivyo ulivyo ooh,
Waliokata tamaa, wewe unawatia nguvu baba ndivyo ulivyo ooh,
Vile nionavyo mimi si kama utazamavyo baba kumbe ndivyo ulivyo oh,
Huruma zako zimevuka vilindi vya bahari, Mungu we eeh kumbe ndivyo ulivyo,
Hakuna Kupinga;
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh

😍😍Abeeee. Narudi kuendelea na IbadaView attachment 2157746