Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Inaonekana kasusaaa na emoji zake zile za kuondoka sikuwa nimeziona....

Mweeh, atakuja kubembelezwa na wajukulu zake wengine mie somo la kubembeleza nilipata F.
Nisuse wapi? Hiyo ni mbinu tu vitani. Fake retreat ili adui ajue kuwa unakimbia kumbe ndiyo unamvuta mtegoni kwa shambulio kali la kushtukiza....

Chonya!

Mwana Chilonwa aliyekishinda kiwi cha macho!
 
Back
Top Bottom