Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Aaahahahahahaaaa babu Simbaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nakisubiria kwa hamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Sema tu umri umenitupa mkono vinginevyo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Weekend
Snapchat-1877622528.jpg
 
Ni chakula kizuri cha ubongo...

Fikra zinabadilika kwa muda...

Na wakati mwingine utashi unashinda nafsi..

Maamuzi yanapitishwa na yanafanyika pasipo bodi kukaa...[emoji28][emoji28][emoji28]

Hapana chezea kiwi cha macho...

Food for Thought [emoji4].
Kasie kasie kasie...
Ni kitambo sasa sikuoni jamvini...
U khali gani?
 
Nisuse wapi? Hiyo ni mbinu tu vitani. Fake retreat ili adui ajue kuwa unakimbia kumbe ndiyo unamvuta mtegoni kwa shambulio kali la kushtukiza....

Chonya!

Mwana Chilonwa aliyekishinda kiwi cha macho! [emoji123][emoji123][emoji123]

Nimenuna....😞😞

Nimekasirika....😡😡😡

Kwahiyo ulishaona tangu ile ya kiwi cha macho cha kwanza ukajidai hujaona...

Siongei tena na wewe 😞😞😞
 
Back
Top Bottom