reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,454
- 29,360
Mtoto wa father house huku Dom anajua kupika balaa..Leo kaniitia chapati za maji mwee[emoji23][emoji2][emoji2]nilichoka hoii!tena alioa mke hajui kupika akawa anamfunza mwenyewe !Akioa ole wake mke awe anazingua kwa mapishi
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app