Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa kweli Mimi nagonga zote tu; surprisingly nikishakuta tu njano nachanganyikiwa. Nataka niswitch kidogo kwenye burnt red/orange; ingawa najua nitarudi tu kwa yellow [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndo maana nasema unapendeza na kila rangi dada , orange naivalia kwenye shirt tu ..hakika you have a keen eye for fashion .
 
Wakubwa mnafaidi siti ya pembeni unashika shika upaja tu uku unachukua na vipop corn mziki mzuri ndani gari inanukia uturi toka manza bay mungu akupe nini..enzi za ujana wangu nilisumbua sana
😀😀😀😀😀 tena kwa huo upaja na guu hilo acha unitamani tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…