Huu ni wimbo eeh ?
Huu ni wimbo eeh ?
Ooh okay umependeza nayo hata hivyo .Ile ni mustard yellow; editing tu za camera
Niliyopost yellow and blue au mustard?Nione jamani
Nimereact, narudi kucomment haipoo 🤣🤣
Oooooooh wooooow, km mie cc zangu naonn twins.Ndio.. Lakini Hatufanani kabisa!!
Mie kulwa ye doto..! Hii ya 2019View attachment 2156529




Amepitwaaaa mojayupo mbna hapa wee
Naona ni nzuri inapendeza ..Mustard yellow je?
Mmeona moja mweeAkija reymage utamwambia nilimtumia picha akayeyaaq
Mmh kweli?Ndio.. Lakini Hatufanani kabisa!!
Mie kulwa ye doto..! Hii ya 2019View attachment 2156529
WoooooowOoh okay umependeza nayo hata hivyo .
Mie napenda feminine colours kama peach , pink , purple ,maroun , emerald , gold na bila kusahau black .




Yaan uwiiiih.Hahaha
Nkamu punguza upambe basi❤❤
Mama mchungaji hii niunganishe na ile?
Hakika uko hooot.....
Na vidole leo vinaonekana vizuriii👌
Waliokosa hiii basi waachane na huu uzi hauwahusu
Nitamwambia nini Saint Anne leo?
Unamsikilizaga yule msukuma?Mama mchungaji huo mchuchumio👌
Brother Shimba Ya Buyenze anasema ogopa sana matapeli........
🙌🙌🙌🙌🙌Nkamu punguza upambe basi
Ataaambia nini watu Leo? Ila hizo picha nilishazipost humu mbona🙌🙌🙌🙌🙌
Nilikua namsaidia mdogo wangu Saint Anne sababu hayupo amekosa mwakilishi🤣🤣🤣🤣
Ndio ma mtumishi! sema picha zake zimefutika nikifanikiwa kurudisha ntatupia!Mmh kweli?