Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Vitu fulani hivi bossEwaaaaa.... [emoji39][emoji39][emoji39]
c. c Heaven Sent View attachment 2156464View attachment 2156465
Vitu fulani hivi bossEwaaaaa.... [emoji39][emoji39][emoji39]
c. c Heaven Sent View attachment 2156464View attachment 2156465
Miye tenaaaaa; nitawaitaYan naomba kabla hujapost tuite, hakikisha tumeitikia [emoji1787][emoji1787]
Yan nishapata picha kalivyo kazuri [emoji76]
Hizi ndizo rangi nizipendazo aise.Wee apo rangi ya maziwa, afu tafuta koti rangi ya pink utaniambia hapa. [emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli uwiiiiih.Mbavu zangu jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu Abiud Misholi uko alipo atakuwa anajing’ata sana
Nkamu nkamuMkuu huyu ndiye Heaven Sent ?
Chagua hapo sweetYa kitambaa tayari ninayo, sasa sijui utawahi nini 🤣
Wahi kitenge
Ilo shati lake ni zuriVitu fulani hivi bossView attachment 2156473
Na hapa sweetYa kitambaa tayari ninayo, sasa sijui utawahi nini 🤣
Wahi kitenge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie Wax ipo nlitaka kumpelekea mama, ila bas nashona hicho kigauni, kinachobaki nashona vibukta tyuuh.Ya kitambaa tayari ninayo, sasa sijui utawahi nini [emoji1787]
Wahi kitenge
Yuko Tz au kenya?Chagua hapo sweet
View attachment 2156477
Nkamu nkamu
Eti lichata 🤣🤣🤣Ilo shati lake ni zuri
Frank Knows anayo
Lilinipendeza hatarii, ila Frank yake kifuani wamebandika lichata la mng’ao . Pameboa
Ipi tena nkamu?Nkamu nipo hapa nasubiri hiyo selfie
Rangi nzuri mnooo, na zinavutiaa sana. [emoji7][emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590]Hizi ndizo rangi nizipendazo aise.
Kwenye harusi yangu miaka ya mbeleni huko basi hizi rangi ndizo zitatawala zaidi
View attachment 2156472
Hutaki.. Nairobi na Arusha si majirani 😀😀😀Yuko Tz au kenya?
Maana na wewe 😂
Khaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie Wax ipo nlitaka kumpelekea mama, ila bas nashona hicho kigauni, kinachobaki nashona vibukta tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ilo shati lake ni zuri
Frank Knows anayo
Lilinipendeza hatarii, ila Frank yake kifuani wamebandika lichata la mng’ao . Pameboa
Nimeweka nikafuta.Hebu selfika bas guu la kuombea mkopo. [emoji7][emoji7][emoji7]