Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Ngoja nifukunyue mafailiNiliyopost yellow and blue au mustard?
Ngoja nifukunyue mafailiNiliyopost yellow and blue au mustard?
Ooh hadi rahaNdio ma mtumishi! sema picha zake zimefutika nikifanikiwa kurudisha ntatupia!
Hii ya mwisho sijawahi iona ni leo niliona kipandale chake kinachokosekana hapoAtaaambia nini watu Leo? Ila hizo picha nilishazipost humu mbona
Kwa kweli Mimi nagonga zote tu; surprisingly nikishakuta tu njano nachanganyikiwa. Nataka niswitch kidogo kwenye burnt red/orange; ingawa najua nitarudi tu kwa yellow 🤣🤣🤣Ooh okay umependeza nayo hata hivyo .
Mie napenda feminine colours kama peach , pink , purple ,maroun , emerald , gold na bila kusahau black .
Hapa nna video zake tu nae anapenda sana kucheza nakujirekodi ka mie tu! nikutumie??Ngoja nifukunyue mafaili
Nitumie boss lady, mapema sana, maana nataka kutokaHapa nna video zake tu nae anapenda sana kucheza nakujirekodi ka mie tu! nikutumie??
Anko dereva kumbe na farewell party ulifanya na sijui!!loh
Endelea kuburudika 😎😎😎View attachment 2156525
Aseeeeh kuwa twin raha,nawaonaga cc zangu.Ndio ma mtumishi! sema picha zake zimefutika nikifanikiwa kurudisha ntatupia!
Kwa kweli Mimi nagonga zote tu; surprisingly nikishakuta tu njano nachanganyikiwa. Nataka niswitch kidogo kwenye burnt red/orange; ingawa najua nitarudi tu kwa yellow![]()








Nitumie boss lady, mapema sana, maana nataka kutoka
Na mie nitumie PM bhana.Hapa nna video zake tu nae anapenda sana kucheza nakujirekodi ka mie tu! nikutumie??
Unanichekaaaa?Hahahaaa
😀😀😀😀.. inanusaa tu mkuu hapo faster.. trip ya huko kanda ya ziwa hadi dar nita enjoy kulala kwenye lilee guuu...Umeiunga na gridi ya taifa![]()
Hahahaaa... kila kitu sare nivile tu mi mweupe ye mweusi ukituona bila sare huwezi jua kama pacha!Aseeeeh kuwa twin raha,nawaonaga cc zangu.
Aiseeeeeh mko vizuri shouzzzzzzzz ake.Hahahaaa... kila kitu sare nivile tu mi mweupe ye mweusi ukituona bila sare huwezi jua kama pacha!



Unanichekaaaa?
Wakubwa mnafaidi siti ya pembeni unashika shika upaja tu uku unachukua na vipop corn mziki mzuri ndani gari inanukia uturi toka manza bay mungu akupe nini..enzi za ujana wangu nilisumbua sana.. inanusaa tu mkuu hapo faster.. trip ya huko kanda ya ziwa hadi dar nita enjoy kulala kwenye lilee guuu...
Ndiyo boss ladyUnataka video??? !!