Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20220319_102233.jpg
 
Hahaha, ukawaambiaje chief?
niliwaambia waende popote wanapotaka wasi nisumbue sumbue, na hawawezi nifanya kitu. Nikawaambie waache upuuzi wa kutishana kisa elfu kumi 😀😀 nikawaambi wakaangalie history ya miamala yangu ya m-pesa kama mie wa kukimbia elfu 10.. ukweli nilikuwa vibaya kimoyo moyo nikasema buku ten inanitoa utu alafu vinapiga videmu tu 😀😀😀😀 songesha napo kukawa na deni sema wao waungwana
 
Back
Top Bottom