Mimi naomba hiyo simu tu madam
Mimi naomba hiyo simu tu madam
Mshono umetulia mahali pake mnooo, ila hiyo cm mbna km 3
?



Tayari.
Ooh yeah amependezaaq
Kumbe ulikuwa unasubiri nikupe mwongozo!!Hapa ndio umenena neno ambalo nilikuwa nalisubiri mdaaaa woote... 😊😊😊😊
Dada mimi naona kuna rangi watu weusi hazitufai aisee huwa sitaki kabisa kuzivaa mfano bright yellow.Binamu huu ulimwengu unavyoenda; hakuna color isiyo-match. Mtu mmoja tu anathubutu kuvaa; haooo tumeshaiga. Imagine kuchanganya red na pink; zamani ungechekwa ila sasa hivi aaah unatokelezea hatari
Can you imagine kuwa yellow ndiyo favorite color yangu?Dada mimi naona kuna rangi watu weusi hazitufai aisee huwa sitaki kabisa kuzivaa mfano bright yellow.
Jamaniii njooni muone mama mchungaji kapostt❤❤❤Binamu hata kama huna damu; wewe Vaa tu, hiyo damu itakujia baadayeView attachment 2156518
Mshono umetulia mahali pake mnooo, ila hiyo cm mbna km 3?
![]()



! huyo ni twin ake shos!Nakufata huko huko ulipo kwanzaaa ndio tupange vizuri 😊😊Kumbe ulikuwa unasubiri nikupe mwongozo!!
Haya leta mwongozo uliosimama…
Lini :April baba
Mama mchungaji huo mchuchumio👌Binamu hata kama huna damu; wewe Vaa tu, hiyo damu itakujia baadayeView attachment 2156518
Wow ..gold hakika unaipenda pia .Can you imagine kuwa yellow ndiyo favorite color yangu?
Mbona napaona April ni mwakani jamani…loh…Nakufata huko huko ulipo kwanzaaa ndio tupange vizuri 😊😊
Anaitaka pia......... (mmmh)Wow ..gold hakika unaipenda pia .
Basi una damu ya nguo dada ,mie naogopa rangi nyingine naona nitakuwa kichekesho ..
Umepata kabisaa wewee tena 😊😊Oppo beib
Xiaom sweetheart 🤸🏻♀️🏃♀️
Ila Muache Extro bana usimchokoze 🤣
Kwanza hapo ukute ashakula ban
Unapendeza nayo kweli na fundi wako Yuko vyema
.Mama maleziBinamu hata kama huna damu; wewe Vaa tu, hiyo damu itakujia baadayeView attachment 2156518



