[emoji16][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]halotel ndo Sanaa na airtel kidogo una bahati hujatukanwa wana matusi balaa
Sent from my Infinix X559C using
JamiiForums mobile app
Wamenitukana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wao wamekuja kwa gia ya biashara.
Na mimi nimeenda nao hadi mwsho..
Kama saa zima naongea nao
Huyu anasema mpigie huyu mwambie hivi?na mm nafata maelekezo hivyohivyo..anasema mpigie tena mwambie hivi
Hivyohivyo nafata
Wakajua wameniokota kweli
Sasa mwishoni nilikuwa nimemuweka conference rafiki yangu anasikiliza
Akaangua kicheko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakasikia
Akawaambia sasa mnataka kumuibia dada jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weee mmoja ameporomosha matusi..mwingine anasema basi naombeni hata hela ya vocha jamani
Kumbe wamekaa wote sehemu moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukamwambia mwenzio ametutukana tungekupa..anasema ngoja nimwambie awaombe msamaha jamani..mnipe angalau ya vocha tu[emoji1787]